Imparare a tradurre dagli esempi di traduzione forniti da contributi umani.
Da traduttori professionisti, imprese, pagine web e archivi di traduzione disponibili gratuitamente al pubblico.
and when they see merchandise or sport they break up for it, and leave you standing.
na wanapo iona biashara au pumbao wanayakimbilia hayo na wakakuacha umesimama.
Ultimo aggiornamento 2014-07-03
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
they it is who say: do not spend upon those who are with the apostle of allah until they break up.
hao ndio wanao sema: msitoe mali kwa ajili ya walioko kwa mtume wa mwenyezi mungu, ili waondokelee mbali!
Ultimo aggiornamento 2014-07-03
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
in this episode of gv face, we break the silence on balochistan by talking to pakistani and baloch activists and journalists who dare to speak out and report on human rights abuses in the province.
katika toleo hili la gv face, tunavunja ukimya kuhusu jimbo la balochistani kwa kuzungumza na wanaharakati na wanandishi wa kipakistani na kibalochi wanaothubutu kuzungumza na kuripoti kuhusu uvunjifu wa haki la binadamu kwenye jimbo hilo.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
the cup of blessing which we bless, is it not the communion of the blood of christ? the bread which we break, is it not the communion of the body of christ?
tunapomshukuru mungu kwa kikombe kile cha baraka, je, huwa hatushiriki damu ya kristo? na tunapoumega mkate, je, huwa hatushiriki mwili wa kristo?
Ultimo aggiornamento 2012-05-06
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
the higher incidence of separation and break-up in homosexual relationships also creates a highly unstable environment for children raised by homosexuals through adoption or otherwise, and can have profound psychological consequences on those children.
uwezekano wa kutengana na kuachana katika mahusiano ya kishoga pia yanasababisha mazingira yasiyoaminika kwa watoto wanaolelewa na mashoga kwa kuasili ama vinginevyo, na yanaweza kuwa na matokeo mabaya kisaikolojia kwa watoto hao.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
as for those who divide their religion and break up into sects, thou hast no part in them in the least: their affair is with allah: he will in the end tell them the truth of all that they did.
hakika walio igawa dini yao na wakawa makundi makundi, huna ukhusiano nao wowote. bila ya shaka shauri yao iko kwa mwenyezi mungu; kisha atawaambia yale waliyo kuwa wakiyatenda.
Ultimo aggiornamento 2014-07-03
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
verily, those who divide their religion and break up into sects (all kinds of religious sects), you (o muhammad saw) have no concern in them in the least.
hakika walio igawa dini yao na wakawa makundi makundi, huna ukhusiano nao wowote.
Ultimo aggiornamento 2014-07-03
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
the pérez molina administration has previously used violence to break up roadblocks and occupations by students, teachers, and parents protesting exclusionary education reforms; if today’s deaths are confirmed to be the responsibility of security forces, it will mark the first clear instance of mortal government repression against civilian protest under mano dura.
serikali ya pérez molina siku za hivi karibuni ilitumia nguvu kuwatawanya makundi ya wanafunzi, walimu na wazazi wanaoandamana kupinga mabadiliko ya elimu yaliyo ya kibaguzi; kama mauaji ya sasa yatathibitishwa kuwa yametokana na matumizi ya nguvu ya kijeshi, itakuwa ni kiashirio cha kwanza cha serikali kandamizi iliyo ya kiuaji dhidi ya raia wanaoandamana chini ya uangalizi wamano dura.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Alcuni contributi umani con scarsa rilevanza sono stati nascosti.
Mostra i risultati con scarsa rilevanza.