Imparare a tradurre dagli esempi di traduzione forniti da contributi umani.
Da traduttori professionisti, imprese, pagine web e archivi di traduzione disponibili gratuitamente al pubblico.
mentre nel paese proliferano portali di informazione indipendenti e contenuti prodotti dai netizen, gopal krishnan ha previsto:
kadiri tovuti za vyombo huru vya habari na vile vya kiraia vinavyozidi kuchapisha taarifa zaidi nchini hapa, gopal krishnan alitabiri:
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
aumentare il numero degli utenti internet e dei contenuti online indipendenti darà forma a una maggiore consapevolezza e metterà il governo sotto pressione.
idadi inayokua ya watumiaji wa intaneti na uandishi ulio huru wa mtandaoni ni mambo yatakayokuwa na athari katika ushawishi wa umma na kuiweka serikali chuni ya shinikizo.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
aleshkovsky prosegue col descrivere numerose violazioni, che vanno da schede aggiunte nelle urne elettorali ,fino alla rimozione forzata degli osservatori indipendenti.
aleshkovsky aliendelea kuelezea ukiukwaji wa taratibu mbalimbali za uchaguzi, kuanzia vitendo vya kuongeza kura za ziada katika masanduku ya kupigia kura mpaka kuondolewa kwa nguvu kwa waangalizi huru.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
per gli stranieri, edom sembrava una giovane giornalista con ambizioni i cui lavori appaiono dappertutto, dal quotidiano di proprietà dello stato alle radio indipendenti di addis abeba.
kwa wasiomjua, edom alichorwa kama mwandishi chipukizi aliyekuwa na hamasa kubwa na ambaye kazi zake zilionekana takribani kila mahali kuanzia kwenye gazeti la kila siku linalomilikiwa na serikali hadi kwenye vituo vya redio vinavyojitegemea vya addis ababa.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
neanche giornali e riviste locali indipendenti sono consentiti: eskinder mi ha spiegato che perfino canali televisivi come bbc e aljazeera sono vietati nei reparti in cui lui e gli altri sono imprigionati.
magazeti na majarida huru yanayochapishwa nchini humo hayaruhusiwi gerezani; eskinder alinieleza zaidi kwamba hata cheneli za tv kama bbc na aljazeera haziruhusiwi kutazamwa kwenye maeneo ambayo yeye na wenzake wamefugwa.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
a determinare in larga misura la credibilità delle tornate elettorali delle prossime tre settimane sarà attahiru jega, professore di scienze politiche e direttore dell'inec, commissione elettorale indipendente.
attahiru jega, profesa wa sayansi ya siasa na mkuu wa tume ya taifa ya uchaguzi (inec) kwa kiasi kikubwa ndiye atakayeamua juu ya kuhalalishwa kwa zoezi la upigaji kura ndani ya majuma matatu.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità: