Imparare a tradurre dagli esempi di traduzione forniti da contributi umani.
Da traduttori professionisti, imprese, pagine web e archivi di traduzione disponibili gratuitamente al pubblico.
corpus christi
mwili wa kristo
Ultimo aggiornamento 2021-06-06
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
initium evangelii iesu christi filii de
habari njema ya yesu kristo, mwana wa mungu.
Ultimo aggiornamento 2012-05-04
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
labora sicut bonus miles christi ies
shiriki katika mateso kama askari mwaminifu wa kristo yesu.
Ultimo aggiornamento 2012-05-04
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
liber generationis iesu christi filii david filii abraha
yesu kristo alikuwa mzawa wa daudi, mzawa wa abrahamu. hii ndiyo orodha ya ukoo wake:
Ultimo aggiornamento 2012-05-04
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
paulus apostolus christi iesu per voluntatem dei et timotheus frate
mimi paulo, mtume wa kristo yesu kwa mapenzi ya mungu, na ndugu timotheo,
Ultimo aggiornamento 2012-05-04
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
paulus servus christi iesu vocatus apostolus segregatus in evangelium de
kutoka kwangu mimi paulo, mtumishi wa kristo yesu, na mtume niliyeteuliwa na kuitwa kwa ajili ya kuhubiri habari njema ya mungu.
Ultimo aggiornamento 2012-05-04
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
huius rei gratia ego paulus vinctus christi iesu pro vobis gentibu
kutokana na hayo, mimi paulo, mfungwa wa kristo yesu kwa ajili yenu, namwomba mungu.
Ultimo aggiornamento 2012-05-04
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
si autem vos christi ergo abrahae semen estis secundum promissionem herede
ikiwa ninyi ni wa kristo, basi ni wazawa wa abrahamu, na mtapokea yale aliyoahidi mungu.
Ultimo aggiornamento 2012-05-04
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
maiores divitias aestimans thesauro aegyptiorum inproperium christi aspiciebat enim in remuneratione
alitambua kwamba kuteseka kwa ajili ya masiha kuna faida kubwa zaidi kuliko utajiri wote wa nchi ya misri, maana alikuwa anatazamia tuzo la baadaye.
Ultimo aggiornamento 2012-05-04
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
est veritas christi in me quoniam haec gloria non infringetur in me in regionibus achaia
naahidi kwa ule ukweli wa kristo ulio ndani yangu, kwamba hakuna kitakachoweza kunizuia kujivunia jambo hilo popote katika akaya.
Ultimo aggiornamento 2012-05-04
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
benedictus deus et pater domini nostri iesu christi pater misericordiarum et deus totius consolationi
atukuzwe mungu na baba wa bwana wetu yesu kristo, baba mwenye huruma na mungu mwenye kuleta faraja yote.
Ultimo aggiornamento 2012-05-04
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
an experimentum quaeritis eius qui in me loquitur christi qui in vos non infirmatur sed potens est in vobi
mtajionea wenyewe kwamba kristo anasema ndani yangu. kwenu kristo si dhaifu; bali nguvu yake yafanya kazi miongoni mwenu.
Ultimo aggiornamento 2012-05-04
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
caritas enim christi urget nos aestimantes hoc quoniam si unus pro omnibus mortuus est ergo omnes mortui sun
maana mapendo ya kristo yanatumiliki sisi ambao tunatambua ya kwamba mtu mmoja tu amekufa kwa ajili ya wote, na hiyo ina maana kwamba wote wanashiriki kifo chake.
Ultimo aggiornamento 2012-05-04
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
benedictus deus et pater domini nostri iesu christi qui benedixit nos in omni benedictione spiritali in caelestibus in christ
atukuzwe mungu na baba wa bwana wetu yesu kristo! maana, katika kuungana na kristo ametubariki kwa kutujalia zawadi zote za kiroho mbinguni.
Ultimo aggiornamento 2012-05-04
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
calicem benedictionis cui benedicimus nonne communicatio sanguinis christi est et panis quem frangimus nonne participatio corporis domini es
tunapomshukuru mungu kwa kikombe kile cha baraka, je, huwa hatushiriki damu ya kristo? na tunapoumega mkate, je, huwa hatushiriki mwili wa kristo?
Ultimo aggiornamento 2012-05-04
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
cum possimus oneri esse ut christi apostoli sed facti sumus lenes in medio vestrum tamquam si nutrix foveat filios suo
ingawa sisi tukiwa mitume wa kristo, tungeweza kudai mambo fulani kwenu. lakini sisi tulikuwa wapole kati yenu kama alivyo mama kwa watoto wake.
Ultimo aggiornamento 2012-05-04
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
et haec quidam fuistis sed abluti estis sed sanctificati estis sed iustificati estis in nomine domini nostri iesu christi et in spiritu dei nostr
baadhi yenu mlikuwa hivyo; lakini sasa mmeoshwa, mkafanywa watakatifu, na kupatanishwa na mungu kwa jina la bwana yesu kristo na kwa roho wa mungu wetu.
Ultimo aggiornamento 2012-05-04
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento: