Imparare a tradurre dagli esempi di traduzione forniti da contributi umani.
Da traduttori professionisti, imprese, pagine web e archivi di traduzione disponibili gratuitamente al pubblico.
qui devorant domos viduarum simulantes longam orationem hii accipient damnationem maiore
huwadhulumu wajane huku wakisingizia kuwa wema kwa kusali sala ndefu. hao watapata hukumu kali zaidi!"
Ultimo aggiornamento 2012-05-04
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta
qui devorant domos viduarum sub obtentu prolixae orationis hii accipient prolixius iudiciu
huwanyonya wajane huku wakijisingizia kusali sala ndefu. siku ya hukumu watapata adhabu kali!"
Ultimo aggiornamento 2012-05-04
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta
omni autem die in templo et circa domos non cessabant docentes et evangelizantes christum iesu
wakaendelea kila siku kufundisha na kuhubiri habari njema ya kristo, hekaluni na nyumbani mwa watu.
Ultimo aggiornamento 2012-05-04
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
quos oportet redargui qui universas domos subvertunt docentes quae non oportet turpis lucri grati
lazima kukomesha maneno yao, kwani wanavuruga jumuiya nzima kwa kufundisha mambo ambayo hawapaswi kufundisha; wanafanya hivyo kwa nia mbaya ya kupata faida ya fedha.
Ultimo aggiornamento 2012-05-04
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
ex his enim sunt qui penetrant domos et captivas ducunt mulierculas oneratas peccatis quae ducuntur variis desiderii
baadhi yao huenda katika nyumba za watu na huwateka wanawake dhaifu waliolemewa mizigo ya dhambi na ambao wanaongozwa na tamaa za kila aina;
Ultimo aggiornamento 2012-05-04
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
cotidie quoque perdurantes unianimiter in templo et frangentes circa domos panem sumebant cibum cum exultatione et simplicitate cordi
waliendelea kukutana pamoja kila siku hekaluni. lakini wakati wa kumega mkate, walikutana katika nyumba zao na wakakishiriki chakula hicho kwa furaha na moyo mkunjufu.
Ultimo aggiornamento 2012-05-04
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
numquid domos non habetis ad manducandum et bibendum aut ecclesiam dei contemnitis et confunditis eos qui non habent quid dicam vobis laudo vos in hoc non laud
je, hamwezi kula na kunywa nyumbani kwenu! au je, mnalidharau kanisa la mungu na kuwaaibisha hao wasio na kitu? niwaambie nini? niwasifu? la hasha! si kuhusu jambo hili.
Ultimo aggiornamento 2012-05-04
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
qui non accipiat centies tantum nunc in tempore hoc domos et fratres et sorores et matres et filios et agros cum persecutionibus et in saeculo futuro vitam aeterna
atapokea mara mia zaidi wakati huu wa sasa nyumba, ndugu, dada, mama, watoto na mashamba pamoja na mateso; na katika wakati ujao atapokea uzima wa milele.
Ultimo aggiornamento 2012-05-04
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità: