Imparare a tradurre dagli esempi di traduzione forniti da contributi umani.
Da traduttori professionisti, imprese, pagine web e archivi di traduzione disponibili gratuitamente al pubblico.
thesaurizare sibi fundamentum bonum in futurum ut adprehendant veram vita
kwa namna hiyo watajiwekea hazina ambayo itakuwa kwao msingi imara kwa wakati ujao. hapo wataweza kujipatia uzima ambao ni uzima wa kweli.
Ultimo aggiornamento 2012-05-04
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
fundamentum enim aliud nemo potest ponere praeter id quod positum est qui est christus iesu
hakuna mtu awezaye kuweka msingi mwingine badala ya ule uliokwisha wekwa, yaani yesu kristo.
Ultimo aggiornamento 2012-05-04
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
ne posteaquam posuerit fundamentum et non potuerit perficere omnes qui vident incipiant inludere e
la sivyo, baada ya kuweka msingi na kushindwa kumaliza, watu watamcheka
Ultimo aggiornamento 2012-05-04
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
si quis autem superaedificat supra fundamentum hoc aurum argentum lapides pretiosos ligna faenum stipula
juu ya msingi huo mtu anaweza kujenga kwa dhahabu, fedha au mawe ya thamani; anaweza kutumia miti, majani au nyasi.
Ultimo aggiornamento 2012-05-04
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
fundamenta muri civitatis omni lapide pretioso ornata fundamentum primum iaspis secundus sapphyrus tertius carcedonius quartus zmaragdu
mawe ya msingi wa ukuta huo yalikuwa yamepambwa kwa kila aina ya mawe ya thamani. jiwe la kwanza la msingi lilikuwa jiwe la thamani jekundu, la pili yakuti samawati, la tatu kalkedoni, la nne zamaradi,
Ultimo aggiornamento 2012-05-04
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
quapropter intermittentes inchoationis christi sermonem ad perfectionem feramur non rursum iacientes fundamentum paenitentiae ab operibus mortuis et fidei ad deu
basi, tusonge mbele kwa yale yaliyokomaa na kuyaacha nyuma yale mafundisho ya mwanzo ya kikristo. hatuhitaji kuweka msingi tena kwa kurudia yale mafundisho ya mwanzo kama vile kuachana na matendo ya kifo, kumwamini mungu;
Ultimo aggiornamento 2012-05-04
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità: