Imparare a tradurre dagli esempi di traduzione forniti da contributi umani.
Da traduttori professionisti, imprese, pagine web e archivi di traduzione disponibili gratuitamente al pubblico.
nos autem fratres secundum isaac promissionis filii sumu
sasa, basi, ndugu zangu, ninyi ni watoto wa mungu kutokana na ahadi yake kama alivyokuwa isaka.
Ultimo aggiornamento 2012-05-04
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
esse gentes coheredes et concorporales et conparticipes promissionis in christo iesu per evangeliu
siri yenyewe ni hii: kwa njia ya habari njema watu wa mataifa mengine wanapata sehemu yao pamoja na wayahudi katika zile baraka za mungu; wao ni viungo vya mwili uleule, na wanashiriki ahadi ileile aliyofanya mungu kwa njia ya kristo yesu.
Ultimo aggiornamento 2012-05-04
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
id est non qui filii carnis hii filii dei sed qui filii sunt promissionis aestimantur in semin
nido kusema, wale waliozaliwa kimaumbile ndio watoto wa mungu, bali wale waliozaliwa kutokana na ahadi ya mungu ndio watakaoitwa watoto wake.
Ultimo aggiornamento 2012-05-04
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
in quo et vos cum audissetis verbum veritatis evangelium salutis vestrae in quo et credentes signati estis spiritu promissionis sanct
nanyi pia watu wa mataifa mengine, mliusikia ujumbe wa kweli yaani habari njema iliyowaletea wokovu, mkamwamini kristo; naye mungu, ili kuonyesha kuwa ninyi ni wake, akawapiga mhuri kwa kuwapeni yule roho mtakatifu aliyetuahidia.
Ultimo aggiornamento 2012-05-04
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
quia eratis illo in tempore sine christo alienati a conversatione israhel et hospites testamentorum promissionis spem non habentes et sine deo in mund
wakati ule ninyi mlikuwa bila kristo; mlikuwa nje ya jamii ya israeli; mlikuwa wageni na hamkuwa na sehemu yoyote katika lile agano la zile ahadi. mlikuwa bila matumaini mungu hapa duniani.
Ultimo aggiornamento 2012-05-04
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità: