Hai cercato la traduzione di sitis da Latino a Swahili

Traduzione automatica

Imparare a tradurre dagli esempi di traduzione forniti da contributi umani.

Latin

Swahili

Informazioni

Latin

sitis

Swahili

 

Da: Traduzione automatica
Suggerisci una traduzione migliore
Qualità:

Contributi umani

Da traduttori professionisti, imprese, pagine web e archivi di traduzione disponibili gratuitamente al pubblico.

Aggiungi una traduzione

Latino

Swahili

Informazioni

Latino

libenter enim suffertis insipientes cum sitis ipsi sapiente

Swahili

ninyi ni wenye busara, ndiyo maana hata mnawavumilia wapumbavu!

Ultimo aggiornamento 2012-05-04
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Latino

ut et vos subditi sitis eiusmodi et omni cooperanti et laborant

Swahili

muufuate uongozi wa watu kama hao, na uongozi wa kila mtu afanyaye kazi na kutumikia pamoja nao.

Ultimo aggiornamento 2012-05-04
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Latino

ita ut facti sitis forma omnibus credentibus in macedonia et in achai

Swahili

kwa hiyo ninyi mmekuwa mfano mzuri kwa waumini wote wa makedonia na akaya.

Ultimo aggiornamento 2012-05-04
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Latino

et dicet vobis nescio vos unde sitis discedite a me omnes operarii iniquitati

Swahili

lakini yeye atasema: sijui ninyi mmetoka wapi; ondokeni mbele yangu, enyi nyote watenda maovu.

Ultimo aggiornamento 2012-05-04
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Latino

progenies viperarum quomodo potestis bona loqui cum sitis mali ex abundantia enim cordis os loquitu

Swahili

enyi kizazi cha nyoka! mnawezaje kusema mambo mema hali ninyi ni waovu? maana mtu husema kutokana na yale yaliyojaa moyoni.

Ultimo aggiornamento 2012-05-04
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Latino

et operam detis ut quieti sitis et ut vestrum negotium agatis et operemini manibus vestris sicut praecepimus vobi

Swahili

muwe na nia ya kuishi maisha ya utulivu, kila mmoja ashughulikie mambo yake mwenyewe na afanye kazi kwa mikono yake mwenyewe kama tulivyowaagiza pale awali.

Ultimo aggiornamento 2012-05-04
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Latino

dum lucem habetis credite in lucem ut filii lucis sitis haec locutus est iesus et abiit et abscondit se ab ei

Swahili

basi, wakati mnao huo mwanga uaminini ili mpate kuwa watu wa mwanga." baada ya kusema maneno hayo, yesu alikwenda zake na kujificha mbali nao.

Ultimo aggiornamento 2012-05-04
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta

Latino

et audivi aliam vocem de caelo dicentem exite de illa populus meus ut ne participes sitis delictorum eius et de plagis eius non accipiati

Swahili

kisha nikasikia sauti nyingine kutoka mbinguni ikisema, "watu wangu, ondokeni kwake, ili msishirikiane naye katika dhambi zake, msije mkaipata adhabu yake.

Ultimo aggiornamento 2012-05-04
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta

Latino

nolo enim vos ignorare fratres mysterium hoc ut non sitis vobis ipsis sapientes quia caecitas ex parte contigit in israhel donec plenitudo gentium intrare

Swahili

ndugu zangu, napenda mjue ukweli huu uliofichika msije mkajiona wenye akili sana. ukaidi wa wayahudi ulikuwa ni wa muda tu, mpaka watu wa mataifa mengine watakapokuwa wamemfikia mungu.

Ultimo aggiornamento 2012-05-04
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Latino

ideo dico vobis ne solliciti sitis animae vestrae quid manducetis neque corpori vestro quid induamini nonne anima plus est quam esca et corpus plus est quam vestimentu

Swahili

"ndiyo maana nawaambieni, msiwe na wasiwasi juu ya chakula na kinywaji mnavyohitaji ili kuishi, wala juu ya mavazi mnayohitaji kwa ajili ya miili yenu. je, maisha ni chakula tu au zaidi? na mwili, je, si zaidi ya mavazi?

Ultimo aggiornamento 2012-05-04
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta

Latino

obsecro autem vos fratres per nomen domini nostri iesu christi ut id ipsum dicatis omnes et non sint in vobis scismata sitis autem perfecti in eodem sensu et in eadem sententi

Swahili

ndugu, ninawasihi kwa jina la bwana wetu yesu kristo: pataneni nyote katika kila jambo msemalo; yasiweko mafarakano kati yenu; muwe na fikira moja na nia moja.

Ultimo aggiornamento 2012-05-04
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Ottieni una traduzione migliore grazie a
7,800,129,715 contributi umani

Ci sono utenti che chiedono aiuto:



I cookie ci aiutano a fornire i nostri servizi. Utilizzando tali servizi, accetti l'utilizzo dei cookie da parte nostra. Maggiori informazioni. OK