Imparare a tradurre dagli esempi di traduzione forniti da contributi umani.
Da traduttori professionisti, imprese, pagine web e archivi di traduzione disponibili gratuitamente al pubblico.
ne varajte se, ljubazna braæo moja!
ndugu zangu wapenzi, msidanganyike!
Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
ugledajte se dakle na boga, kao ljubazna deca,
kwa hiyo, mwigeni mungu, maana ninyi ni watoto wake wapenzi.
Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
zato, ljubazna braæo moja, beite od idolopoklonstva.
kwa hiyo, wapenzi wangu, epeni ibada za sanamu.
Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
zato, ljubazna braæo moja, neka bude svaki èovek brz èuti a spor govoriti i spor srditi se.
ndugu zangu wapenzi, kumbukeni jambo hili! kila mtu na awe mwepesi wa kusikia lakini asiwe mwepesi wa kusema wala mwepesi wa kukasirika.
Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
iz jednih usta izlazi blagoslov i kletva. ne valja, ljubazna braæo moja, da ovo tako biva.
maneno ya laana na ya kusifia hutoka katika kinywa kimoja. ndugu zangu, mambo haya hayapaswi kuwa hivyo.
Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
a mi smo duni svagda zahvaljivati bogu za vas, braæo ljubazna gospodu! to vas je bog od poèetka izabrao za spasenje u svetinji duha i veri istine.
tunapaswa kumshukuru mungu daima kwa ajili yenu ninyi ndugu, ninyi mnaopendwa na bwana, kwa maana mungu amewateua tangu mwanzo mpate kuokolewa kwa nguvu ya roho mfanywe watu wake watakatifu kwa imani yenu katika ukweli.
Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Èujte, ljubazna braæo moja, ne izabra li bog siromahe ovog sveta da budu bogati verom, i naslednici carstva koje obreèe onima koji njega ljube?
ndugu zangu wapenzi, sikilizeni! mungu amechagua watu ambao ni maskini katika ulimwengu huu ili wapate kuwa matajiri katika imani na kupokea utawala aliowaahidia wale wanaompenda.
Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità: