Imparare a tradurre dagli esempi di traduzione forniti da contributi umani.
Da traduttori professionisti, imprese, pagine web e archivi di traduzione disponibili gratuitamente al pubblico.
kad dodje dakle gospodar od vinograda ta æe uèiniti vinogradarima onim?
"sasa, huyo mwenye shamba la mizabibu atakapokuja, atawafanyaje hao wakulima?"
Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta
i kad dodje vreme, posla k vinogradarima slugu da primi od vinogradara od roda vinogradskog.
wakati wa mavuno, alimtuma mtumishi wake kwa wale wakulima akamletee sehemu ya mazao ya shamba lake.
Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
a kad se priblii vreme rodovima, posla sluge svoje k vinogradarima da prime rodove njegove.
wakati wa mavuno ulipofika, aliwatuma watumishi wake kwa wale wakulima, ili wakachukue sehemu ya mavuno yake.
Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
a narodu poèe kazivati prièu ovu: jedan èovek posadi vinograd, i dade ga vinogradarima pa otide na podugo vremena.
yesu akaendelea kuwaambia watu mfano huu: "mtu mmoja alilima shamba la mizabibu, akalikodisha kwa wakulima; kisha akasafiri hadi nchi ya mbali, akakaa huko kwa muda mrefu.
Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta
rekoe mu: zloèince æe zlom smrti pomoriti; a vinograd daæe drugim vinogradarima, koji æe mu davati rodove u svoje vreme.
wao wakamjibu, "atawaangamiza vibaya hao waovu, na lile shamba atawapa wakulima wengine ambao watampa sehemu ya mavuno wakati wa mavuno."
Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta
i poèe im govoriti u prièama: posadi èovek vinograd, i ogradi plotom, i iskopa pivnicu, i naèini kulu, i dade ga vinogradarima, pa ode.
yesu alianza kusema nao kwa mifano: "mtu mmoja alilima shamba la mizabibu. akalizungushia ukuta, na katikati yake akachimba kisima cha kusindikia divai, akajenga mnara pia. akalikodisha shamba hilo kwa wakulima, akasafiri hadi nchi ya mbali.
Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta
drugu prièu èujte: bee èovek domaæin koji posadi vinograd, i ogradi ga plotom, i iskopa u njemu pivnicu, i naèini kulu, i dade ga vinogradarima i otide.
yesu akasema, "sikilizeni mfano mwingine. mtu mmoja mwenye nyumba alilima shamba la mizabibu; akalizungushia ukuta, akachimba kisima cha kusindikia divai, akajenga humo mnara pia. kisha akalikodisha kwa wakulima, akasafiri kwenda nchi ya mbali.
Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta