Hai cercato la traduzione di kibinadamu da Swahili a Amarico

Traduzione automatica

Imparare a tradurre dagli esempi di traduzione forniti da contributi umani.

Swahili

Amharic

Informazioni

Swahili

kibinadamu

Amharic

 

Da: Traduzione automatica
Suggerisci una traduzione migliore
Qualità:

Contributi umani

Da traduttori professionisti, imprese, pagine web e archivi di traduzione disponibili gratuitamente al pubblico.

Aggiungi una traduzione

Swahili

Amarico

Informazioni

Swahili

ninyi mnahukumu kwa fikira za kibinadamu, lakini mimi simhukumu mtu.

Amarico

እናንተ ሥጋዊ ፍርድን ትፈርዳላችሁ፤ እኔ በአንድ ሰው ስንኳ አልፈርድም።

Ultimo aggiornamento 2012-05-04
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

kuniabudu kwao hakufai, maana mambo wanayofundisha ni maagizo ya kibinadamu tu.

Amarico

የሰውም ሥርዓት የሆነ ትምህርት እያስተማሩ በከንቱ ያመልኩኛል ተብሎ እንደ ተጻፈ በእውነት ትንቢት ተናገረ።

Ultimo aggiornamento 2012-05-04
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

kuniabudu kwao hakufai, maana mambo wanayofundisha ni maagizo ya kibinadamu tu."

Amarico

የሰውም ሥርዓት የሆነ ትምህርት እያስተማሩ በከንቱ ያመልኩኛል ብሎ በእውነት ትንቢት ተናገረ።

Ultimo aggiornamento 2012-05-04
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta

Swahili

ndugu, napenda mfahamu kwamba ile habari njema niliyoihubiri si ujumbe wa kibinadamu.

Amarico

ወንድሞች ሆይ፥ በእኔ የተሰበከ ወንጌል እንደ ሰው እንዳይደለ አስታውቃችኋለሁ፤

Ultimo aggiornamento 2012-05-04
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

kwangu mimi si kitu nikihukumiwa na ninyi, au na mahakama ya kibinadamu; wala sijihukumu.

Amarico

ነገር ግን በእናንተ ዘንድ ወይም በሌላ ሰው ዘንድ ብፈረድ ለእኔ ምንም አይደለም፤ እኔም በራሴ እንኳ አልፈርድም፤

Ultimo aggiornamento 2012-05-04
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

hivyo basi, ndugu zangu, tunalo jukumu, lakini si la kuishi kufuatana na maumbile ya kibinadamu.

Amarico

እንግዲህ፥ ወንድሞች ሆይ፥ ዕዳ አለብን፥ እንደ ሥጋ ፈቃድ ግን እንኖር ዘንድ ለሥጋ አይደለም።

Ultimo aggiornamento 2012-05-04
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

kisha akaupima ukuta wake pia; nao ulikuwa mita sitini kwa kipimo cha macho cha kibinadamu ambacho malaika alitumia.

Amarico

ቅጥርዋንም ለካ፥ መቶ አርባ አራት ክንድ በሰው ልክ፥ እርሱም በመልአክ ልክ።

Ultimo aggiornamento 2012-05-04
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

basi, jiwekeni chini ya mamlaka yote ya kibinadamu, kwa ajili ya bwana: utii kwa mfalme aliye mtawala mkuu,

Amarico

ስለ ጌታ ብላችሁ ለሰው ሥርዓት ሁሉ ተገዙ፤ ለንጉሥም ቢሆን፥ ከሁሉ በላይ ነውና፤

Ultimo aggiornamento 2012-05-04
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

basi, tangu sasa, sisi hatumpimi mtu yeyote kibinadamu. hata kama kwa wakati mmoja tulimpima kristo kibinadamu, sasa si hivyo tena.

Amarico

ስለዚህ እኛ ከአሁን ጀምሮ ማንንም በሥጋ እንደሚሆን አናውቅም፤ ክርስቶስንም በሥጋ እንደ ሆነ ያወቅነው ብንሆን እንኳ፥ አሁን ግን ከእንግዲህ ወዲህ እንደዚህ አናውቀውም።

Ultimo aggiornamento 2012-05-04
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

angalieni basi, mtu asiwapotoshe kwa udanganyifu mtupu wa hekima ya kibinadamu, ambayo chanzo chake ni mafundisho ya mapokeo ya watu na ya pepo watawala, na wala si kristo mwenyewe!

Amarico

እንደ ክርስቶስ ትምህርት ሳይሆን፥ እንደ ሰው ወግና እንደ ዓለማዊ እንደ መጀመሪያ ትምህርት ባለ በፍልስፍና በከንቱም መታለል ማንም እንዳይማርካችሁ ተጠበቁ።

Ultimo aggiornamento 2012-05-04
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

lakini yesu akageuka, akamwambia petro, "ondoka mbele yangu shetani! wewe ni kikwazo kwangu. mawazo yako si ya mungu bali ni ya kibinadamu!"

Amarico

እርሱ ግን ዘወር ብሎ ጴጥሮስን። ወደ ኋላዬ ሂድ፥ አንተ ሰይጣን፤ የሰውን እንጂ የእግዚአብሔርን አታስብምና ዕንቅፋት ሆነህብኛል አለው።

Ultimo aggiornamento 2012-05-04
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta

Swahili

sisi tunajivunia kitu kimoja: dhamiri yetu inatuhakikishia kwamba tumeishi ulimwenguni hapa, na hasa kati yenu, kwa unyenyekevu na unyofu tuliojaliwa na mungu; hatukuongozwa na hekima ya kibinadamu bali neema ya mungu.

Amarico

ትምክህታችን ይህ ነውና፤ በእግዚአብሔር ጸጋ እንጂ በሥጋዊ ጥበብ ሳይሆን፥ በእግዚአብሔር ቅድስናና ቅንነት በዚህ ዓለም ይልቁንም በእናንተ ዘንድ እንደኖርን የሕሊናችን ምስክርነት ነው።

Ultimo aggiornamento 2012-05-04
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

je, mnadhani nilipopanga hivyo nimekuwa kama mtu asiye na msimamo? je, mnadhani kwamba ninafanya uamuzi wangu kwa fikira za kibinadamu na kwamba nasema "ndiyo" na "siyo" papo hapo?

Amarico

እንግዲህ ይህን ሳስብ ያን ጊዜ ቅሌትን አሳየሁን? ወይስ በእኔ ዘንድ አዎን አዎን አይደለም አይደለም ማለት እንዲሆን ያን የማስበው በዓለማዊ ልማድ ነውን?

Ultimo aggiornamento 2012-05-04
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta

Ottieni una traduzione migliore grazie a
7,760,166,856 contributi umani

Ci sono utenti che chiedono aiuto:



I cookie ci aiutano a fornire i nostri servizi. Utilizzando tali servizi, accetti l'utilizzo dei cookie da parte nostra. Maggiori informazioni. OK