Hai cercato la traduzione di alikufa da Swahili a Arabo

Traduzione automatica

Imparare a tradurre dagli esempi di traduzione forniti da contributi umani.

Swahili

Arabic

Informazioni

Swahili

alikufa

Arabic

 

Da: Traduzione automatica
Suggerisci una traduzione migliore
Qualità:

Contributi umani

Da traduttori professionisti, imprese, pagine web e archivi di traduzione disponibili gratuitamente al pubblico.

Aggiungi una traduzione

Swahili

Arabo

Informazioni

Swahili

maana kristo alikufa, akafufuka ili wapate kuwa bwana wa wazima na wafu.

Arabo

لانه لهذا مات المسيح وقام وعاش لكي يسود على الاحياء والاموات.

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

ambaye alikufa kwa ajili yetu, ili tuishi pamoja naye, iwe tu hai au tumekufa.

Arabo

الذي مات لاجلنا حتى اذا سهرنا او نمنا نحيا جميعا معه.

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

tulipokuwa bado wanyonge, kristo, wakati ulipotimia, alikufa kwa ajili yetu sisi waovu.

Arabo

لان المسيح اذ كنا بعد ضعفاء مات في الوقت المعيّن لاجل الفجار.

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

hivyo, huyo ndugu yako dhaifu ambaye kristo alikufa kwa ajili yake, atapotea kwa sababu ya ujuzi wako.

Arabo

فيهلك بسبب علمك الاخ الضعيف الذي مات المسيح من اجله.

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

lakini mungu amethibitisha kwamba anatupenda, maana wakati tulipokuwa bado wenye dhambi, kristo alikufa kwa ajili yetu.

Arabo

ولكن الله بيّن محبته لنا لانه ونحن بعد خطاة مات المسيح لاجلنا.

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

sipendi kuikataa neema ya mungu. kama mtu huweza kukubaliwa kuwa mwadilifu kwa njia ya sheria, basi, kristo alikufa bure!

Arabo

لست ابطل نعمة الله. لانه ان كان بالناموس بر فالمسيح اذا مات بلا سبب

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

sisi tunaamini kwamba yesu alikufa, akafufuka; na hivyo sisi tunaamini kwamba mungu atawaleta pamoja na yesu wale wote waliofariki wakiwa wanamwamini.

Arabo

لانه ان كنا نؤمن ان يسوع مات وقام فكذلك الراقدون بيسوع سيحضرهم الله ايضا معه.

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

baba yake na mama yake hawatajwi, wala ukoo wake hautajwi; haisemwi alizaliwa lini au alikufa lini. anafanana na mwana wa mungu, na anaendelea kuwa kuhani daima.

Arabo

بلا اب بلا ام بلا نسب. لا بداءة ايام له ولا نهاية حياة بل هو مشبه بابن الله هذا يبقى كاهنا الى الابد.

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

"ndugu zangu, napenda kuwaambieni waziwazi juu ya mambo yaliyompata daudi, babu yetu. yeye alikufa, akazikwa, tena kaburi lake liko papa hapa petu mpaka leo.

Arabo

‎ايها الرجال الاخوة يسوغ ان يقال لكم جهارا عن رئيس الآباء داود انه مات ودفن وقبره عندنا حتى هذا اليوم‎.

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta

Swahili

basi, wayahudi wakasema, "sasa tunajua kweli kwamba wewe ni mwendawazimu! abrahamu alikufa, na manabii pia walikufa, nawe wasema ati, anayeuzingatia ujumbe wangu hatakufa milele!

Arabo

فقال له اليهود الآن علمنا ان بك شيطانا. قد مات ابراهيم والانبياء. وانت تقول ان كان احد يحفظ كلامي فلن يذوق الموت الى الابد.

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta

Ottieni una traduzione migliore grazie a
7,762,920,018 contributi umani

Ci sono utenti che chiedono aiuto:



I cookie ci aiutano a fornire i nostri servizi. Utilizzando tali servizi, accetti l'utilizzo dei cookie da parte nostra. Maggiori informazioni. OK