Hai cercato la traduzione di aliyekuwa da Swahili a Arabo

Traduzione automatica

Imparare a tradurre dagli esempi di traduzione forniti da contributi umani.

Swahili

Arabic

Informazioni

Swahili

aliyekuwa

Arabic

 

Da: Traduzione automatica
Suggerisci una traduzione migliore
Qualità:

Contributi umani

Da traduttori professionisti, imprese, pagine web e archivi di traduzione disponibili gratuitamente al pubblico.

Aggiungi una traduzione

Swahili

Arabo

Informazioni

Swahili

kisha wakampeleka huyo mtu aliyekuwa kipofu kwa mafarisayo.

Arabo

فأتوا الى الفريسيين بالذي كان قبلا اعمى.

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

huyo mtu aliyekuwa amepooza akainuka, akaenda nyumbani kwake.

Arabo

فقام ومضى الى بيته.

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

kukatokea majadiliano kati ya wale wanafunzi kuhusu nani kati yao aliyekuwa mkuu zaidi.

Arabo

وداخلهم فكر من عسى ان يكون اعظم فيهم.

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

mbele yake yesu palikuwa na mtu mmoja aliyekuwa na ugonjwa wa kuvimba mwili.

Arabo

واذا انسان مستسق كان قدامه.

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

yesu akamwambia huyo mtu aliyekuwa na mkono uliopooza, "njoo hapa katikati."

Arabo

فقال للرجل الذي له اليد اليابسة قم في الوسط.

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta

Swahili

basi, hapo palikuwa na mtu mmoja aliyekuwa mgonjwa kwa muda wa miaka thelathini na minane.

Arabo

وكان هناك انسان به مرض منذ ثمان وثلاثين سنة.

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

mwana wa enosi, mwana wa sethi, mwana wa adamu, aliyekuwa wa mungu.

Arabo

بن انوش بن شيت بن آدم ابن الله

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

barnaba akaitwa zeu, na paulo, kwa vile yeye ndiye aliyekuwa anaongea, akaitwa herme.

Arabo

‎فكانوا يدعون برنابا زفس وبولس هرمس اذ كان هو المتقدم في الكلام‎.

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

ikiwa mnatuuliza leo juu ya kile kitendo chema alichofanyiwa yule mtu aliyekuwa kiwete na jinsi alivyopata kuwa mzima,

Arabo

ان كنا نفحص اليوم عن احسان الى انسان سقيم بماذا شفي هذا

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

kwa hivyo akamwomba dada aliyekuwa kibandani ampe ndizi nyingine, nia yake ikiwa kumpatia mrembo yule mzungu ndizi hiyo.

Arabo

طلب من السيدة في المتجر موزة أخرى وذهب لإعطائها للسيدة الجميلة التي كان قد رصدها.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

kwa mujibu wa al-rasheed, mtumishi huyo alikasirika na akadai kitambulisho chake na cha rafiki aliyekuwa naye.

Arabo

وأجابه موظف الهيئة بأن هذا حرام إلا أن عبدالله قاطعه قائلاً:

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

nilipokuwa damasko, mkuu wa mkoa, aliyekuwa chini ya mfalme areta, alikuwa akiulinda mji wa damasko ili apate kunikamata.

Arabo

في دمشق والي الحارث الملك كان يحرس مدينة الدمشقيين يريد ان يمسكني

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

filipo na bartholomayo, thoma na mathayo aliyekuwa mtoza ushuru; yakobo mwana wa alfayo, na thadayo;

Arabo

فيلبس وبرثولماوس. توما ومتى العشار. يعقوب بن حلفى ولباوس الملقب تداوس.

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

maryam kwa sasa yuko copenhagen, hana nafasi ya kumwona baba yake, ni mwanaharakati wa bahrain aliyekuwa kifungoni akiongoza mgomo wa kula mara mbili tangu mwaka 2011.

Arabo

إذ تقيم مريم حاليًا في كوبنهاجن، غير قادرٍة على رؤية والدها وهو أحد أبرز الناشطين البحرينيين والذي يقضي حكمًا بالسجن منذ عام 2011 قام خلاله بإضرابين عن الطعام.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

yesu alifika tena huko mjini kana, mkoani galilaya, mahali alipogeuza maji kuwa divai. kulikuwa na ofisa mmoja aliyekuwa na mtoto mgonjwa huko kafarnaumu.

Arabo

فجاء يسوع ايضا الى قانا الجليل حيث صنع الماء خمرا. وكان خادم للملك ابنه مريض في كفرناحوم.

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

wanawake wasiopungua watatu wameuawa kwa kushambuliwa na watu wanaosadikiwa kuwa ni majambazi huko mansoura wakati wa maandamano ya kupinga kung’olewa madarakani kwa aliyekuwa rais wa misri mohamed morsi.

Arabo

مقتل ثلاث سيدات على الأقل بالمنصورة عندما هوجمت تظاهرة احتجاجية مؤيدة للرئيس السابق مرسي بواسطة "بلطجية" بينما أصيب عشرات آخرون بسكاكين ورصاص.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta

Swahili

mara tu huyo pepo alipotolewa, mtu huyo aliyekuwa bubu akaanza kuongea tena. watu wakashangaa na kusema, "jambo kama hili halijapata kuonekana katika israeli!"

Arabo

فلما اخرج الشيطان تكلم الاخرس. فتعجب الجموع قائلين لم يظهر قط مثل هذا في اسرائيل.

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta

Swahili

wakamwuliza tena huyo mtu aliyekuwa kipofu, "maadam yeye amekufungua macho, wasemaje juu yake?" naye akawaambia, "yeye ni nabii!"

Arabo

قالوا ايضا للاعمى ماذا تقول انت عنه من حيث انه فتح عينيك. فقال انه نبي.

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta

Swahili

"lakini huyo mtumishi akaondoka, akamkuta mmoja wa watumishi wenzake aliyekuwa na deni lake fedha denari mia moja. akamkamata, akamkaba koo akisema, lipa deni lako!

Arabo

ولما خرج ذلك العبد وجد واحدا من العبيد رفقائه كان مديونا له بمئة دينار. فامسكه واخذ بعنقه قائلا أوفني ما لي عليك.

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta

Swahili

miezi michache tu iliyopita, raia wengi wa misri walitamani sana kumwona aliyekuwa rais wa nchi hiyo, rais mubarak, akitupwa jela, hata hivyo, pengine ni wachache miongoni mwao waliofikiri kwa uhakika kabisa kwamba siku moja jambo hili lingetimia.

Arabo

ربما تمنى القليل المصريين في الأشهر القليلة الماضية رؤية مبارك في السجن، ولكن ربما لم يعتقد أحد أن يحدث ذلك بالفعل في يوم ما.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Ottieni una traduzione migliore grazie a
7,787,694,662 contributi umani

Ci sono utenti che chiedono aiuto:



I cookie ci aiutano a fornire i nostri servizi. Utilizzando tali servizi, accetti l'utilizzo dei cookie da parte nostra. Maggiori informazioni. OK