Hai cercato la traduzione di heshima da Swahili a Arabo

Contributi umani

Da traduttori professionisti, imprese, pagine web e archivi di traduzione disponibili gratuitamente al pubblico.

Aggiungi una traduzione

Swahili

Arabo

Informazioni

Swahili

heshima

Arabo

احترام

Ultimo aggiornamento 2021-12-15
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

watu wanastahili heshima.

Arabo

ويُضيف:

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

lakini yote yafanyike kwa heshima na kwa utaratibu.

Arabo

وليكن كل شيء بلياقة وبحسب ترتيب

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

iko wapi heshima yao kwa wasomaji na wasikilizaji wao?

Arabo

أنشروا المواضيع فى كل حتة.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

mekfoula brahim anawapa heshima wale wote walioshiriki maandamano hayo :

Arabo

عن الوقفة كتبت الناشطة الموريتانية مكفولة إبراهيم:

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

pendaneni kidugu; kila mmoja amfikirie mwenzake kwanza kwa heshima.

Arabo

وادّين بعضكم بعضا بالمحبة الاخوية. مقدمين بعضكم بعضا في الكرامة.

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

hupenda kusalimiwa kwa heshima sokoni na kupendelea kuitwa na watu: mwalimu.

Arabo

والتحيات في الاسواق وان يدعوهم الناس سيدي سيدي.

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

kila mwanamume anapaswa kujua namna ya kuishi na mkewe kwa utakatifu na heshima,

Arabo

ان يعرف كل واحد منكم ان يقتني اناءه بقداسة وكرامة.

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

wapeni heshima kubwa na kuwapenda kwa sababu ya kazi wanayofanya. muwe na amani kati yenu.

Arabo

وان تعتبروهم كثيرا جدا في المحبة من اجل عملهم. سالموا بعضكم بعضا.

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

yesu aliona jinsi wale walioalikwa walivyokuwa wanajichagulia nafasi za heshima, akawaambia mfano:

Arabo

وقال للمدعوين مثلا وهو يلاحظ كيف اختاروا المتكآت الاولى قائلا لهم

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

na kwa heshima yangu yote huu ni ujinga wa ajabu, kupigana na uhalifu kwa makundi ya uhalifu.

Arabo

في مدونته الوعي المصري، نشر أيضا وائل عباس فيديو ضرب النار على الأقباط في نجع حمادي.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

ulimfanya kwa kitambo kidogo kuwa chini zaidi kuliko malaika; ukamvika taji ya utukufu na heshima,

Arabo

وضعته قليلا عن الملائكة. بمجد وكرامة كللته واقمته على اعمال يديك.

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

nailaumu wizara ya mambo ya ndani katika hili, kama kuna heshima ya kweli na hofu ya sheria pasingetokea kitu kama hiki.

Arabo

مع كامل احترامي هذه سخافة، محاربة جريمة بمجموعة جرائم. ألوم وزير الداخلية بكل هذا الأمر، لو يوجد احترام حقيقي وخوف من القانون لما حدث مثل هذا الأمر.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

hatimaye, ndugu, tuombeeni ili ujumbe wa bwana uzidi kuenea upesi na kupokelewa kwa heshima kama vile ulivyo kati yenu.

Arabo

اخيرا ايها الاخوة صّلوا لاجلنا لكي تجري كلمة الرب وتتمجد كما عندكم ايضا.

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

tunaomba rasmi tamko lililo wazi la kuomba msamaha kutoka kwa wale waliotupaka matope na ninawaomba wote wanaozungumza kwa jina la heshima kuonyesha ushirikiano wao.

Arabo

وأيضاً يكتب مصطفى فتحي مقالةً في فيس بوك وينشر كريم البحيري على مدونته تضامناً مع أميرة.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

itachukua miaka mingi ya kazi ngumu, yenye kujaa ujasiri na unyoofu ili kuturejesha katika mfumo wa afya ulio wa heshima na wenye ufanisi.

Arabo

هذا سيتطلب سنوات من العمل المضني الجاد والشجاع لنستعيد نظام الرعاية الصحية بشكل فعال.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

bango la kuonyesha heshima kwa nelson mandela limechukua umaarufu usiojulikana wa kiongozi wa afrika kusini nchini brazil kwa kuwaita wale ambao wanaenzi urithi wake kusaidia haki za binadamu.

Arabo

لافتة لتكريم نيلسون مانديلا تتلقى شعبية في البرازيل تدعو معجبيه لدعم حقوق الإنسان.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

wakati atakapokuja siku ile kupokea utukufu kutoka kwa watu wake na heshima kutoka kwa wote wanaoamini. ninyi pia mtakuwa miongoni mwao, kwani mmeuamini ule ujumbe tuliowaletea.

Arabo

متى جاء ليتمجد في قديسيه ويتعجب منه في جميع المؤمنين. لان شهادتنا عندكم صدقت. في ذلك اليوم.

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

hapa ni zawadi sahihi kabisa ya kuukaribisha mwaka mpya: kitabu-pepe kipya tulichokiandika kwa heshima yaeneo la afrika kusini mwa jangwa la sahara.

Arabo

تفضلوا بقبول هديتنا المثالية للترحيب بالعام الجديد: كتابنا الإلكتروني الجديد. نهديه لإقليم جنوب الصحراء الأفريقية.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

kusherehekea kopo lako kunaweza kuonekana kama ujinga, lakini kutokuwa na kopo siyo tu kunaweza kukusababishia aibu, kukosa heshima na masuala mengine ya kiusalama, bali pia kunaweza kukusababishia magonjwa yanayoweza kuzuilika na hata kifo.

Arabo

عندما لا يمتلك البشر مراحيض، فإنهم مجبرون على قضاء حاجاتهم في الشوارع و الحقول أو حتى الأزقة، والنتيجة؟ تلوث مصادر المياه الصالحة للشرب والمواد الغذائية، الأمر الذي يؤدي إلى عدد كبير من المخاطر الصحية.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Ottieni una traduzione migliore grazie a
7,773,191,779 contributi umani

Ci sono utenti che chiedono aiuto:



I cookie ci aiutano a fornire i nostri servizi. Utilizzando tali servizi, accetti l'utilizzo dei cookie da parte nostra. Maggiori informazioni. OK