Imparare a tradurre dagli esempi di traduzione forniti da contributi umani.
Da traduttori professionisti, imprese, pagine web e archivi di traduzione disponibili gratuitamente al pubblico.
basi, wayahudi wakasema, "tazameni jinsi alivyompenda!"
فقال اليهود انظروا كيف كان يحبه.
Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta
basi, mafarisayo wakatoka nje, wakashauriana jinsi watakavyomwangamiza yesu.
فلما خرج الفريسيون تشاوروا عليه لكي يهلكوه.
Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
wale watu walioshuhudia tukio hilo waliwaeleza hao jinsi yule mtu alivyoponywa.
فاخبرهم ايضا الذين رأوا كيف خلص المجنون.
Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
lakini wao wakakasirika sana, wakajadiliana jinsi ya kumtendea yesu maovu.
فامتلأوا حمقا وصاروا يتكالمون فيما بينهم ماذا يفعلون بيسوع
Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
kwani wataona jinsi mwenendo wenu ulivyo safi na wa kumcha mungu.
ملاحظين سيرتكنّ الطاهرة بخوف.
Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
katika youtube kuna video nyingi zinazoonyesha jinsi shambulio hilo lilivyotokea:
توضح المزيد من لقطات الفيديو على يوتيوب كيف وقع هذا الهجوم .
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
kupitia picha hizo ilikuwa rahisi kuona jinsi hali halisi ilivyokuwa mbaya.
الصور أظهرت كيف كان الوضع سيء.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
kisha, mafarisayo wakaenda zao, wakashauriana jinsi ya kumnasa yesu kwa maneno yake.
حينئذ ذهب الفريسيون وتشاوروا لكي يصطادوه بكلمة.
Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
ninao ubatizo ambao inanipasa niupokee; jinsi gani ninavyohangaika mpaka ukamilike!
ولي صبغة اصطبغها وكيف انحصر حتى تكمل.
Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
kama mkiwakosesha ndugu zenu jinsi hiyo na kuzijeruhi dhamiri zao dhaifu, mtakuwa mmemkosea kristo.
وهكذا اذ تخطئون الى الاخوة وتجرحون ضميرهم الضعيف تخطئون الى المسيح.
Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
hapa chini tunawaletea jinsi habari hizi zilivyopokelewa katika ulimwengu wa uandishi wa habari wa kijmii miongoni mwa wamisri.
ونستعرض هنا كيف وثقت الصحافة الشعبية المصرية هذا الحدث:
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
picha inayoonesha jinsi motto mdogo alivyowashiwa moshi wa kutoa machozi, picha iliwekwa na @14febonline
وعرَضت بعدها الصحفيّة ديما خطيب صورة تُظهر بشكل أوضح تلك الواقعة:
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
mavazi yake yakang'aa, yakawa meupe sana, jinsi dobi yeyote duniani asingeweza kuyafanya meupe.
وصارت ثيابه تلمع بيضاء جدا كالثلج لا يقدر قصّار على الارض ان يبيض مثل ذلك.
Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
mwanablogu wa kimisri lasto adri anaeleza kuchukizwa kwake na jinsi kile kilichopaswa kuwa tukio la michezo, kimeshushwa hadhi na kuwa pambano chafu.
بحق الإله لا يهم من الذي سيصل إلى . المدونة المصرية لست أدري ، تشجب كيف ما كان من المفترض أن يكون حدث رياضي، تحول الى مواجهة مقرفة.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
"wayahudi wanajua habari za maisha yangu tangu utoto, jinsi nilivyoishi tangu mwanzo kati ya taifa langu huko yerusalemu.
فسيرتي منذ حداثتي التي من البداءة كانت بين امتي في اورشليم يعرفها جميع اليهود
Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta
kwa maana jinsi mnavyowahukumu wengine, ndivyo nanyi mtakavyohukumiwa; na kipimo kilekile mnachotumia kwa wengine ndicho mungu atakachotumia kwenu.
لانكم بالدينونة التي بها تدينون تدانون. وبالكيل الذي به تكيلون يكال لكم.
Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
angalieni maua jinsi yanavyomea. hayafanyi kazi wala hayafumi. hata hivyo, nawahakikishieni kwamba hata solomoni mwenyewe na fahari zake zote hakupata kuvikwa vizuri kama ua mojawapo.
تأملوا الزنابق كيف تنمو. لا تتعب ولا تغزل. ولكن اقول لكم انه ولا سليمان في كل مجده كان يلبس كواحدة منها.
Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
katika mfululizo mpya wa cosmos, víctor r. ruíz anaonyesha jinsi ambavyo kutafuta maarifa ya kisayansi limekuwa ni jukumu la kijamii na kisayansi katika nyanja za umma:
في صلة للمسلسل التلفزيوني العلمي الوثائقي الأمريكي الجديد "الكون"، يبين الإسباني فيكتور رويز كيف أصبح البحث العلمي مسؤولية العلماء الاجتماعية تجاه الرأي العام:
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta
kituo cha hifadhi ya wanyama, bila shaka, ni moja ya maeneo machache unayoweza kuyatembelea na kujionea jinsi watu wanavyobadilika kulingana na vionjo na matakwa ya tembo na siyo tembo kubadilika kulingana na namna watu wanavyoishi.
مركز رعاية الفيلة هو من دون شك واحد من الأماكن النادرة التي لا تبحث عن تكيف الفيل مع إيقاع حياة وحاجيات البشر بل عن التكيف مع إيقاع حياة وحاجيات الفيلة.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
jomhouriat aliandika , "nchi yangu inajivunia msichana huyu asiye na hatia, ambaye kupigwa kwake marufuku kusafiri kwake kunaonesha jinsi jamuhuri ya kiislamu inavyoporomoka."
يكتب جمهوریت: "بلدي فخورة بهذه الفتاة البريئة التي منعت من السفر، يدل هذا الإجراء على أن الجمهورية الإسلامية آخذة في الانهيار.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta