Hai cercato la traduzione di mafanikio da Swahili a Arabo

Swahili

Traduttore

mafanikio

Traduttore

Arabo

Traduttore
Traduttore

Traduci istantaneamente testi, documenti e voce con Lara

Traduci ora

Contributi umani

Da traduttori professionisti, imprese, pagine web e archivi di traduzione disponibili gratuitamente al pubblico.

Aggiungi una traduzione

Swahili

Arabo

Informazioni

Swahili

mafanikio

Arabo

yako

Ultimo aggiornamento 2022-10-21
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

mustakabali uliojaa mafanikio na maendeleo.

Arabo

مستقبل حافل بالإنجازات والتنمية.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

utagundua kuwa mapinduzi yako yamekuwa ya mafanikio.

Arabo

نصيحة مصرية للكوايته.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

na tunasonga mbele na juu zaidi kwa mafanikio.

Arabo

وإلى الأمام ننمو دائمًا.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

wanablogu wanaungana na wananchi wa nchi hiyo kusherehekea mafanikio hayo.

Arabo

شارك المدونون مع الشعب المصري الاحتفال بهذا الانجاز.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

furaha ya kuzaliwa kwako rahma na yenye mafanikio kwako na barka

Arabo

عيد ميلاد سعيد

Ultimo aggiornamento 2019-11-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

sauti za iran ni mradi ulioundwa kwa kutumia mafanikio ya mradi wa ushahidi.

Arabo

تم إنشاء أصوات إيران باستخدام منصة مشروع يوشاهيدي الناجح.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

tuna wengi wa kuwashukuru kwa kufanya mkutano wetu wa mwaka 2015 kuwa wa mafanikio:

Arabo

يجب علينا أيضًا أن نشكر من ساعدونا على نجاح هذه القمة بهذا الشكل الرائع:

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

lakini, pamoja na changamoto hizi, shule ya skype ya benghazi hadi sasa imekuwa na mafanikio makubwa.

Arabo

وعلى الرغم من التحديات، نجحت مدرسة بنغازي على سكايب إلى حد ما.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

kama hujazoea kusoma habari za mafanikio ya kielimu katika nchi ya afganistani, habari hii ni ya kukubadilisha mtazamo wako.

Arabo

ما لم تكن معتاداً على قراءة قصص نجاح للتعليم في أفغانستان، فهذه قصة ناجحة على غير العادة.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

na pia, mkutano wetu usingeweza kufikia mafanikio haya bila ya ushirikiano wa kipekee tulioupata kutoka kwa wenyeji wa tulipofanyia mkutano.

Arabo

رعاتنا الدوليون: مؤسسة فورد، مؤسسة ماك أرثر، جوجل، المجتمع المفتوح، مؤسسة نايت، ياهو، أوتوماتتيك.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

katika kuuanza mwaka mpya, vyombo vya habari nchini bahrain vilitoa tamko la kusherehekea mafanikio ya mwaka uliopita linalosema:

Arabo

لحسن الحظ، كان النشطاء على الإنترنت مستعدين ويقظين، ويقومون بتوثيق جزءٍ من تلك الممارسات لعرضها أمام العالم. واحتفالاً بالعام الجديد، أصدرت وكالة الأنباء البحرينية بياناً للاحتفال بإنجازات العام الماضي قائلة:

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

tuna matumaini kwamba siku moja misri isherehekee mafanikio kama hayo ya ulimwengu uliondelea, na tunatumaini kwamba hata wakati huo ule moyo wa mapinduzi utaendelea kuwepo mitaani.

Arabo

كتبت زينوبيا تدوينة جديدة عن تلك اللحظة، بعنوان "لحظة تاريخية"، وذكرت أيضاً أن ولدي الرئيس اغتلقوا أيضاً:

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo
Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta

Swahili

tafadhali tutumie maoni yako, mawazo ya ubunifu, makosa uliyoyapata katika toleo la sasa na vinginevyo kutusaidia kuifanya storymaker kuwa mafanikio ya kweli.

Arabo

إلخ. ساعدونا على إنجاح ستوري ميكر بحق.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

watu wengi tayari wameshakutana na familia na marafiki zao kupitia mfumo huu wa shirika la wakimbizi wakutana, lakini kuendelea kwa mafanikio hayo kutategemea ni jinsi gani wakimbizi watajua kuwa kuna kitu kama hicho.

Arabo

وجد الكثير من العائلات ذويهم عبر الموقع، ولكن استمرار هذا النجاح يعتمد على معرفة اللاجئين بهذه المنصة.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

ndugu zangu, nataka mjue kwamba mara nyingi nilikusudia kuwatembeleeni, lakini mpaka sasa nimezuiwa. ningependa kupata mafanikio mema kati yenu kama nilivyopata kati ya watu wa mataifa mengine.

Arabo

ثم لست اريد ان تجهلوا ايها الاخوة انني مرارا كثيرة قصدت ان آتي اليكم. ومنعت حتى الآن. ليكون لي ثمر فيكم ايضا كما في سائر الامم

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

lengo kubwa la awamu yake mpya ya urais kwa nchi ya kameruni ni kufikia hadhi ya soko linaloibukia ifikapo 2035 kupitia hatua kwa hatua za “mafanikio makubwa” katika maendeleo ya miundo mbinu ya usafiri na nishati .

Arabo

واعتبر أن هدفه في ولايته الجديدة أن تصل الكاميرون إلى نادي الدول الناشئة في العام 2035 عبر سلسلة من "الإنجازات الكبيرة" في مجال تنمية البنية التحتية للنقل والطاقة.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo
Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta

Swahili

pamoja na hatua za mafanikio zilizofikiwa na nchi hiyo tangu kuondolewa kwa wa-taliban mwaka 2001, vyombo vingi vya habari vinavyoandika habari za afghanistan kwa ujeuri tu vimejikita katika masuala hasi kama vile milipuko ya mabomu, mashambulizi ya kujitoa muhanga na kujeruhiwa kwa watu.

Arabo

على الرغم من التطور الجاري في البلاد بعد إقصاء طالبان في عام 2001، تكتب أغلب وسائل الإعلام عن أفغانستان مركزين فقط على الجانب السلبي والقضايا السلبية مثلا انفجار قنبلة، أو هجوم انتحاري، المصابين والجرحى.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

kama umeme ukiendelea hivi kama gaza hatutaweza. najaribu kumpigia simu au kumuandikia ujumbe wa simu ya mkononi dada yangu bila mafanikio" 7.30 mchana: "mke wangu kaniuliza kwa nini nakunja sura.

Arabo

8:20 صباحاً: "ما زالوا غير قريبين، أتمنى ذلك، اذا استمرت الكهرباء منقطعة كما في غزّة، لن نتمكن، ما زلت أحاول الاتصال مع أختي أو ارسال رسالة لها لكن دون جدوى"

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo
Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta

Ottieni una traduzione migliore grazie a
8,953,409,491 contributi umani

Ci sono utenti che chiedono aiuto:



I cookie ci aiutano a fornire i nostri servizi. Utilizzando tali servizi, accetti l'utilizzo dei cookie da parte nostra. Maggiori informazioni. OK