Imparare a tradurre dagli esempi di traduzione forniti da contributi umani.
Da: Traduzione automatica
Suggerisci una traduzione migliore
Qualità:
Da traduttori professionisti, imprese, pagine web e archivi di traduzione disponibili gratuitamente al pubblico.
majina 99 ya mwenyezi mungu na maana
99 names of allah and meaning
Ultimo aggiornamento 2022-01-30
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
mwenye kufundishwa neno la mungu na amshirikishe mwalimu wake riziki zake.
ولكن ليشارك الذي يتعلّم الكلمة المعلّم في جميع الخيرات.
Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
hakika sisi ni wa mungu na kwake tutarejea
asurely we are gods and to him we shall return
Ultimo aggiornamento 2022-01-09
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
msifu mungu na mwombe amruhusu binti huyu mdogo kuja gaza ...
ويكمل المدون كلام:
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
mtu wa taifa lolote anayemcha mungu na kutenda haki anapokelewa naye.
بل في كل امة الذي يتقيه ويصنع البر مقبول عنده
Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
shughulikieni kwanza ufalme wa mungu, na hayo yote mtapewa kwa ziada.
بل اطلبوا ملكوت الله وهذه كلها تزاد لكم
Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
zamani hamkumjua mungu na hivyo mkatumikia miungu isiyo miungu kweli.
لكن حينئذ اذ كنتم لا تعرفون الله استعبدتم للذين ليسوا بالطبيعة آلهة.
Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
simeoni alimpokea mtoto yesu mikononi mwake huku akimtukuza mungu na kusema:
اخذه على ذراعيه وبارك الله وقال
Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
yeyote yule ambaye hatamsikiliza nabii huyo atatengwa mbali na watu wa mungu na kuangamizwa.
ويكون ان كل نفس لا تسمع لذلك النبي تباد من الشعب.
Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
naye yesu akaendelea kukua katika hekima na kimo; akazidi kupendwa na mungu na watu.
واما يسوع فكان يتقدم في الحكمة والقامة والنعمة عند الله والناس
Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
nitarudi kwa baba yangu na kumwambia: baba, nimemkosea mungu, na nimekukosea wewe pia.
اقوم واذهب الى ابي واقول له يا ابي اخطأت الى السماء وقدامك.
Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
watumwa wote wanapaswa kuwaheshimu wakuu wao ili kusiwe na sababu ya watu kulitukana jina la mungu na mafundisho yetu.
جميع الذين هم عبيد تحت نير فليحسبوا سادتهم مستحقين كل اكرام لئلا يفترى على اسم الله وتعليمه.
Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
kisha malaika akanionyesha mto wa maji ya uzima maangavu kama kioo yakitoka kwenye kiti cha enzi cha mungu na mwanakondoo.
واراني نهرا صافيا من ماء حياة لامعا كبلّور خارجا من عرش الله والخروف.
Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
je, hamjui kwamba ninyi ni hekalu la mungu, na kwamba roho wa mungu anakaa ndani yenu?
أما تعلمون انكم هيكل الله وروح الله يسكن فيكم.
Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
naye yohane, ameyasema yote aliyoyaona. na hii ndio taarifa yake kuhusu ujumbe wa mungu na ukweli uliofunuliwa na yesu kristo.
الذي شهد بكلمة الله وبشهادة يسوع المسيح بكل ما رآه.
Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
lakini yesu akawaambia watu wote, "mama yangu na ndugu zangu ni wale wanaolisikia neno la mungu na kulishika."
فاجاب وقال لهم امي واخوتي هم الذين يسمعون كلمة الله ويعملون بها
Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta
walitawanyika katika nchi yote, wakaizunguka kambi ya watu wa mungu na mji wa mungu aupendao. lakini moto ulishuka kutoka mbinguni, ukawaangamiza.
فصعدوا على عرض الارض واحاطوا بمعسكر القديسين وبالمدينة المحبوبة فنزلت نار من عند الله من السماء واكلتهم.
Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
nakuamuru mbele ya mungu, na mbele ya kristo yesu atakayewahukumu watu walio hai na wafu, na kwa sababu anakuja kutawala akiwa mfalme:
انا اناشدك اذا امام الله والرب يسوع المسيح العتيد ان يدين الاحياء والاموات عند ظهوره وملكوته
Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
basi, ninyi si wageni tena, wala si watu wa nje; ninyi ni raia pamoja na watu wa mungu, na ni watu wa jamaa ya mungu.
فلستم اذا بعد غرباء ونزلا بل رعية مع القديسين واهل بيت الله
Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
maandiko yote matakatifu yameandikwa kwa uongozi wa mungu, na yanafaa katika kufundishia ukweli, kuonya, kusahihisha makosa, na kuwaongoza watu waishi maisha adili,
كل الكتاب هو موحى به من الله ونافع للتعليم والتوبيخ للتقويم والتأديب الذي في البر
Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento: