Hai cercato la traduzione di wakulima da Swahili a Bulgaro

Swahili

Traduttore

wakulima

Traduttore

Bulgaro

Traduttore
Traduttore

Traduci istantaneamente testi, documenti e voce con Lara

Traduci ora

Contributi umani

Da traduttori professionisti, imprese, pagine web e archivi di traduzione disponibili gratuitamente al pubblico.

Aggiungi una traduzione

Swahili

Bulgaro

Informazioni

Swahili

wale wakulima wakamkamata, wakampiga, wakamrudisha mikono mitupu.

Bulgaro

А те го хванаха, биха го, и го отпратиха празен.

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

"sasa, huyo mwenye shamba la mizabibu atakapokuja, atawafanyaje hao wakulima?"

Bulgaro

И тъй, когато си дойде стопанинът на лозето, какво ще стори на тия земеделци?

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta

Swahili

wale wakulima wakawakamata hao watumishi; mmoja wakampiga, mwingine wakamwua na mwingine wakampiga mawe.

Bulgaro

А земеделците хванаха слугите му, един биха, друг убиха, а трети с камъни замериха.

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

lakini hao wakulima wakaambiana, huyu ndiye mrithi, basi, tumuue ili urithi wake uwe wetu!

Bulgaro

А тия земеделци рекоха помежду си: Тоя е наследникът; елате да го убием, и наследството ще бъде наше.

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

wale wakulima walipomwona tu, wakasemezana: huyu ndiye mrithi. basi, tumwue ili urithi wake uwe wetu.

Bulgaro

Но земеделците, като го видяха, разискваха по между си, като думаха: Това е наследникът; нека го убием, за да стане наследството наше.

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

huyo mtu akawatuma tena watumishi wengine, wengi kuliko wa safari ya kwanza. wale wakulima wakawatendea namna ileile.

Bulgaro

Пак изпрати други слуги, повече на брой от първите; и на тях сториха същото.

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

"basi, mwenye shamba atafanya nini? atakuja kuwaangamiza hao wakulima na kulikodisha hilo shamba la mizabibu kwa watu wengine.

Bulgaro

Какво, прочее, ще стори стопанинът на лозето? Ще дойде и ще погуби тия земеделци, а лозето ще даде на други.

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta

Swahili

wakati wa mavuno, mtu huyo alimtuma mtumishi wake kwa wale wakulima, akachukue sehemu ya matunda ya shamba la mizabibu. lakini wale wakulima wakampiga mtumishi huyo wakamrudisha mikono mitupu.

Bulgaro

И почна да говори на людете тая притча: Един човек насади лозе, даде го под наем на земеделци, и отиде в чужбина за дълго време.

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

basi, wakamtoa nje ya lile shamba la mizabibu, wakamwua." yesu akauliza, "yule mwenye shamba atawafanya nini hao wakulima?

Bulgaro

Изхвърлиха го вън от лозето и го убиха. И тъй, какво ще им стори стопанинът на лозето?

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta

Swahili

na mfano wao katika injili ni kama mmea ulio toa chipukizi lake , kisha ukalitia nguvu , ukawa mnene , ukasimama sawa juu ya ubuwa wake , ukawafurahisha wakulima , ili kuwakasirisha kwa ajili yao makafiri .

Bulgaro

Търсят щедрост от Аллах и благоволение .

Ultimo aggiornamento 2014-07-02
Frequenza di utilizzo: 2
Qualità:

Swahili

jueni ya kwamba maisha ya dunia ni mchezo , na pumbao , na pambo , na kujifakhirisha baina yenu na kushindana kwa wingi wa mali na watoto . mfano wake ni kama mvua ambayo huwafurahisha wakulima mimea yake , kisha hunyauka ukayaona yamepiga manjano kisha yakawa mabua .

Bulgaro

Знайте , че земният живот е само игра и забава , и украса , и хвалба между вас , и умножаване на имотите и децата , подобно на растения след дъжд - възхищават сеячите , после изсъхват и ги виждаш пожълтели , после стават на съчки .

Ultimo aggiornamento 2014-07-02
Frequenza di utilizzo: 2
Qualità:

Ottieni una traduzione migliore grazie a
8,953,058,340 contributi umani

Ci sono utenti che chiedono aiuto:



I cookie ci aiutano a fornire i nostri servizi. Utilizzando tali servizi, accetti l'utilizzo dei cookie da parte nostra. Maggiori informazioni. OK