Hai cercato la traduzione di ilivyokuwa da Swahili a Cinese semplificato

Traduzione automatica

Imparare a tradurre dagli esempi di traduzione forniti da contributi umani.

Swahili

Chinese

Informazioni

Swahili

ilivyokuwa

Chinese

 

Da: Traduzione automatica
Suggerisci una traduzione migliore
Qualità:

Contributi umani

Da traduttori professionisti, imprese, pagine web e archivi di traduzione disponibili gratuitamente al pubblico.

Aggiungi una traduzione

Swahili

Cinese semplificato

Informazioni

Swahili

kama ilivyokuwa nyakati za noa, ndivyo itakavyokuwa katika siku za mwana wa mtu.

Cinese semplificato

挪 亞 的 日 子 怎 樣 、 人 子 的 日 子 也 要 怎 樣

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

kwa maana kama ilivyokuwa nyakati za noa, ndivyo itakavyokuwa kuja kwake mwana wa mtu.

Cinese semplificato

挪 亞 的 日 子 怎 樣 、 人 子 降 臨 也 要 怎 樣

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

paulo alijiunga nao kama ilivyokuwa desturi yake akajadiliana nao sabato tatu mfululizo, akatumia maandiko matakatifu.

Cinese semplificato

保 羅 照 他 素 常 的 規 矩 進 去 、 一 連 三 個 安 息 日 、 本 著 聖 經 與 他 們 辯 論

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

mtoto alipokuwa na umri wa miaka kumi na miwili, wote walikwenda kwenye sikukuu hiyo kama ilivyokuwa desturi.

Cinese semplificato

當 他 十 二 歲 的 時 候 、 他 們 按 著 節 期 的 規 矩 上 去

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

lakini hawataweza kuendelea zaidi kwa maana upumbavu wao utaonekana wazi kwa wote. ndivyo ilivyokuwa kwa akina yane na yambre.

Cinese semplificato

然 而 他 們 不 能 再 這 樣 敵 擋 、 因 為 他 們 的 愚 昧 、 必 在 眾 人 面 前 顯 露 出 來 、 像 那 二 人 一 樣

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

yesu akatoka, na kama ilivyokuwa desturi yake, akaenda katika mlima wa mizeituni; wanafunzi wake wakamfuata.

Cinese semplificato

耶 穌 出 來 、 照 常 往 橄 欖 山 去 . 門 徒 也 跟 隨 他

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

yesu alitoka hapo akaenda mkoani yudea na hata ng'ambo ya mto yordani. umati wa watu ukamwendea tena, naye akawafundisha tena kama ilivyokuwa desturi yake.

Cinese semplificato

耶 穌 從 那 裡 起 身 、 來 到 猶 太 的 境 界 、 並 約 但 河 外 。 眾 人 又 聚 集 到 他 那 裡 、 他 又 照 常 教 訓 他 們

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

basi, yesu alikwenda nazareti, mahali alipolelewa, na siku ya sabato, aliingia katika sunagogi, kama ilivyokuwa desturi yake. akasimama ili asome maandiko matakatifu kwa sauti.

Cinese semplificato

耶 穌 來 到 拿 撒 勒 、 就 是 他 長 大 的 地 方 . 在 安 息 日 、 照 他 平 常 的 規 矩 、 進 了 會 堂 、 站 起 來 要 念 聖 經

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

kwanza mose aliwatangazia watu wote amri zote kama ilivyokuwa katika sheria; kisha akachukua damu ya ndama pamoja na maji, na kwa kutumia majani ya mti uitwao husopo na pamba nyekundu, akakinyunyizia kile kitabu cha sheria na hao watu wote.

Cinese semplificato

因 為 摩 西 當 日 照 著 律 法 、 將 各 樣 誡 命 傳 給 眾 百 姓 、 就 拿 朱 紅 色 絨 和 牛 膝 草 、 把 牛 犢 山 羊 的 血 和 水 、 灑 在 書 上 、 又 灑 在 眾 百 姓 身 上 、 說

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

huduma zao za kikuhani ni mfano tu na kivuli cha yale yaliyoko mbinguni. ndivyo pia ilivyokuwa kwa mose. wakati alipokuwa karibu kuitengeneza ile hema, mungu alimwambia: "tengeneza kila kitu kufuatana na ule mfano ulioonyeshwa kule mlimani."

Cinese semplificato

他 們 供 奉 的 事 、 本 是 天 上 事 的 形 狀 和 影 像 、 正 如 摩 西 將 要 造 帳 幕 的 時 候 、 蒙   神 警 戒 他 、 說 、 『 你 要 謹 慎 、 作 各 樣 的 物 件 、 都 要 照 著 在 山 上 指 示 你 的 樣 式 。

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta

Ottieni una traduzione migliore grazie a
7,792,494,421 contributi umani

Ci sono utenti che chiedono aiuto:



I cookie ci aiutano a fornire i nostri servizi. Utilizzando tali servizi, accetti l'utilizzo dei cookie da parte nostra. Maggiori informazioni. OK