Imparare a tradurre dagli esempi di traduzione forniti da contributi umani.
Da traduttori professionisti, imprese, pagine web e archivi di traduzione disponibili gratuitamente al pubblico.
enyi watoto, watiini wazazi wenu kikristo maana hili ni jambo jema.
你 們 作 兒 女 的 、 要 在 主 裡 聽 從 父 母 、 這 是 理 所 當 然 的
Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
salimianeni kwa ishara ya upendo wa kikristo. nawatakieni amani ninyi mlio wake kristo.
你 們 要 用 愛 心 彼 此 親 嘴 問 安 。 願 平 安 歸 與 你 們 凡 在 基 督 裡 的 人
Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
nanyi akina baba, msiwachukize watoto wenu ila waleeni katika nidhamu na mafundisho ya kikristo.
你 們 作 父 親 的 、 不 要 惹 兒 女 的 氣 、 只 要 照 著 主 的 教 訓 和 警 戒 、 養 育 他 們
Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
ndugu, tunawaombeni muwastahi wale wanaofanya kazi kati yenu, wale wanaowaongoza na kuwafundisheni kuhusu maisha ya kikristo.
弟 兄 們 、 我 們 勸 你 們 敬 重 那 在 你 們 中 間 勞 苦 的 人 、 就 是 在 主 裡 面 治 理 你 們 、 勸 戒 你 們 的
Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
alifanya hivyo apate kuwatayarisha watu wote wa mungu kwa ajili ya kazi ya huduma ya kikristo ili kuujenga mwili wa kristo,
為 要 成 全 聖 徒 、 各 盡 其 職 、 建 立 基 督 的 身 體
Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
maana hata kama mnao maelfu ya walezi katika maisha yenu ya kikristo, baba yenu ni mmoja tu, kwani katika maisha ya kikristo mimi ndiye niliyewazaeni kwa kuihubiri habari njema.
你 們 學 基 督 的 、 師 傅 雖 有 一 萬 、 為 父 的 卻 是 不 多 、 因 我 在 基 督 耶 穌 裡 用 福 音 生 了 你 們
Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
lakini huyo mchawi elima (kama alivyokuwa anaitwa kwa kigiriki), alijaribu kuwapinga ili kumzuia huyo mkuu wa kisiwa asije akaigeukia imani ya kikristo.
只 是 那 行 法 術 的 以 呂 馬 、 ( 這 名 繙 出 來 就 是 行 法 術 的 意 思 ) 敵 擋 使 徒 、 要 叫 方 伯 不 信 真 道
Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
mwanamke huwa amefungwa na mumewe kwa muda wote mumewe aishipo. lakini mumewe akifa, mama huyo yuko huru, na akipenda anaweza kuolewa na mtu yeyote, mradi tu iwe kikristo.
丈 夫 活 著 的 時 候 、 妻 子 是 被 約 束 的 . 丈 夫 若 死 了 、 妻 子 就 可 以 自 由 、 隨 意 再 嫁 . 只 是 要 嫁 這 在 主 裡 面 的 人
Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
ndiyo maana nimemtuma timetheo kwenu. yeye ni mtoto wangu mpenzi na mwaminifu katika bwana. atawakumbusheni njia ninayofuata katika kuishi maisha ya kikristo; njia ninayofundisha kila mahali katika makanisa yote.
因 此 我 已 打 發 提 摩 太 到 你 們 那 裡 去 . 他 在 主 裡 面 、 是 我 所 親 愛 有 忠 心 的 兒 子 . 他 必 題 醒 你 們 、 記 念 我 在 基 督 裡 怎 樣 行 事 、 在 各 處 各 教 會 中 怎 樣 教 導 人
Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
basi, tusonge mbele kwa yale yaliyokomaa na kuyaacha nyuma yale mafundisho ya mwanzo ya kikristo. hatuhitaji kuweka msingi tena kwa kurudia yale mafundisho ya mwanzo kama vile kuachana na matendo ya kifo, kumwamini mungu;
所 以 我 們 應 當 離 開 基 督 道 理 的 開 端 、 竭 力 進 到 完 全 的 地 步 . 不 必 再 立 根 基 、 就 如 那 懊 悔 死 行 、 信 靠 神
Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità: