Imparare a tradurre dagli esempi di traduzione forniti da contributi umani.
Da traduttori professionisti, imprese, pagine web e archivi di traduzione disponibili gratuitamente al pubblico.
lakini, wakati mtu amgeukiapo bwana, kifuniko hicho huondolewa.
וכשיפנו אל האדון יוסר המסוה׃
Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
ikiwa utafuta kitu chochote, hicho kitakuwa kimepotea moja kwa moja.
פריט שימחק יאבד לנצח.
Ultimo aggiornamento 2014-08-15
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
kwa sababu neno la mungu na sala hukifanya kitu hicho kikubalike kwa mungu.
כי יקדש בדבר אלהים ובתפלה׃
Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
basi, si mimi hasa ninayefanya kitu hicho, bali ile dhambi iliyo ndani yangu.
ועתה לא אנכי עוד הפעל אתו כי אם החטא הישב בי׃
Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
kipaji cha kutangaza ujumbe wa mungu ni lazima kitawaliwe na huyo mwenye hicho kipaji.
ורוחות הנביאים תחת ידי הנביאים המה׃
Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
basi, wayahudi wengi waliokuwa wamefika kwa maria walipoona kitendo hicho alichokifanya yesu wakamwamini.
ורבים מן היהודים אשר באו אל מרים בראותם את אשר עשה ישוע האמינו בו׃
Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
basi, kila mtu ajichunguze mwenyewe kwanza, ndipo ale mkate huo na anywe kikombe hicho;
יבחן האיש את נפשו ואז יאכל מן הלחם וישתה מן הכוס׃
Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
kisha akatwaa kikombe, akamshukuru mungu, akawapa; nao wote wakanywa katika kikombe hicho.
ויקח את הכוס ויברך ויתן להם וישתו ממנה כלם׃
Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
mnawezaje kujivuna? ingekuwa afadhali kwenu kuomboleza, na huyo aliyefanya kitu hicho aondolewe miongoni mwenu.
ואתם עוד גבהי רוח תחת אשר היה לכם להתאבל למען יוסר מקרבכם עשה המעשה הזה׃
Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
kitu kinachomtia mtu najisi si kile kiingiacho kinywani, bali kile kitokacho kinywani. hicho ndicho kimtiacho mtu najisi."
לא הבא אל הפה יטמא את האדם כי אם היוצא מן הפה הוא מטמא את האדם׃
Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta
wakasimama, wakamtoa nje ya mji wao uliokuwa umejengwa juu ya kilima, wakampeleka mpaka kwenye ukingo wa kilima hicho ili wamtupe chini.
ויקומו וידיחו אותו אל מחוץ לעיר ויביאהו עד גב ההר אשר נבנתה עירם עליו למען השליכו מטה׃
Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
nao wote wakamkamata sosthene ambaye alikuwa kiongozi wa sunagogi, wakampiga palepale mbele ya mahakama. lakini galio hakujali kitendo hicho hata kidogo.
ויאחזו כל היונים את סוסתנים ראש הכנסת ויכוהו לפני כסא המשפט וגליון לא שת לבו גם לזאת׃
Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
"hakuna mtu atiaye kiraka cha nguo mpya katika vazi kuukuu. maana kiraka hicho kitararua hilo vazi kuukuu, na pale palipokuwa pameraruka pataongezeka.
אין משים מטלית חדשה על שמלה בלה כי תנתק מלאתו מן השמלה ותרע הקריעה׃
Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta
lakini tunafikiri inafaa tusikie kutoka kwako mwenyewe mambo yaliyo kichwani mwako. kwa maana tujualo sisi kuhusu hicho kikundi ni kwamba kinapingwa kila mahali."
אמנם חפצים אנחנו לשמע את אשר בלבבך כי נודע לנו אשר בכל מקום יריבו אל הכת הזאת׃
Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta
umeme, sauti na ngurumo, vilikuwa vinatoka kwenye hicho kiti cha enzi. taa saba za moto zilikuwa zinawaka mbele ya hicho kiti cha enzi. taa hizo ni roho saba za mungu.
ומן הכסא יוצאים ברקים ורעמים וקולות ושבעה לפידי אש בערים לפני הכסא אשר הם שבעה רוחות האלהים׃
Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
basi, nikakichukua kitabu hicho kidogo kutoka mkononi mwa huyo malaika, nikakila; nacho kilikuwa kitamu kinywani mwangu kama asali, lakini nilipokimeza kikawa kichungu tumboni mwangu.
ואקח את הספר מיד המלאך ואכלהו ויהי בפי כדבש למתוק ואחרי אכלי אתו וימלא בטני מרורים׃
Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
lakini ninyi mwafundisha, kama mtu anacho kitu ambacho angeweza kuwasaidia nacho baba au mama yake, lakini akasema kwamba kitu hicho ni korbani (yaani ni zawadi kwa mungu),
ואתם אמרים איש כי יאמר לאביו ולאמו קרבן פרושו מתנה לאלהים כל מה שאתה נהנה לי׃
Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
"ole wenu viongozi vipofu! ninyi mwasema ati mtu akiapa kwa hekalu, kiapo hicho si kitu; lakini akiapa kwa dhahabu ya hekalu, kiapo hicho kinamshika.
אוי לכם מנהלים עורים האמרים הנשבע בהיכל אין זאת מאומה והנשבע בזהב ההיכל יאשם׃
Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta
kisha mmoja wa wale wazee akaniambia, "usilie! tazama! simba wa kabila la yuda, mjukuu maarufu wa daudi, ameshinda. yeye anaweza kuivunja mihuri yake saba na kukifungua hicho kitabu."
ויאמר אלי אחד מן הזקנים אל תבכה הנה נצח האריה אשר הוא משבט יהודה שרש דוד לפתח את הספר ולהתיר שבעת חותמיו׃
Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta