Da traduttori professionisti, imprese, pagine web e archivi di traduzione disponibili gratuitamente al pubblico.
utupe leo chakula chetu tunachohitaji.
את לחם חקנו תן לנו היום׃
Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
yesu kristo ni yuleyule, jana, leo na milele.
ישוע המשיח גם תמול גם היום הוא הוא וגם לעולמים׃
Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
ndiyo maana mpaka leo shamba hilo linaitwa shamba la damu.
על כן שם השדה ההוא שדה הדם עד היום הזה׃
Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
naam, mpaka hivi leo kila isomwapo sheria ya mose akili zao huwa zimefunikwa.
אבל עד היום הזה בקראם את משה מונח מסוה על לבם׃
Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
ikiwa mnatuuliza leo juu ya kile kitendo chema alichofanyiwa yule mtu aliyekuwa kiwete na jinsi alivyopata kuwa mzima,
אם אנחנו נחקרים היום על הטובה אשר עשינו לאיש חולה ושאלתם במה זה נושע׃
Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
wale walinzi wakazichukua zile fedha, wakafanya kama walivyofundishwa. habari hiyo imeenea kati ya wayahudi mpaka leo.
ויקחו את הכסף ויעשו כאשר למדו ותצא השמועה הזאת בין היהודים עד היום הזה׃
Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
kwa hiyo, basi, kama asemavyo roho mtakatifu: "kama mkisikia sauti ya mungu leo,
לכן כמאמר רוח הקדש היום אם בקלו תשמעו׃
Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta
isipokuwa tu maneno haya niliyosema niliposimama mbele yao: mnanihukumu leo hii kwa sababu ya kushikilia kwamba wafu watafufuliwa!"
בלתי אם הדבר האחד ההוא אשר קראתי בעמדי בתוכם כי על תחית המתים אני נדון היום לפניכם׃
Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta
akisema: "laiti ungelijua leo hii yale yaletayo amani! lakini sasa yamefichika machoni pako.
לו ידעת אף את בעוד יומך הזה את דבר שלומך ועתה נעלם מעיניך׃
Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta
kwa hiyo baadhi ya wayahudi wakamwambia huyo mtu aliyeponywa, "leo ni sabato, si halali kubeba mkeka wako."
ויאמרו היהודים אל האיש הנרפא שבת היום אסור לך לשאת את משכבך׃
Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta
basi, ninyi na watu wote wa israeli mnapaswa kujua kwamba mtu huyu anasimama mbele yenu leo, mzima kabisa, kwa nguvu ya jina lake yesu wa nazareti ambaye ninyi mlimsulubisha, lakini mungu akamfufua kutoka wafu.
יודע לכלכם ולכל עם ישראל כי בשם ישוע המשיח הנצרי אשר צלבתם אותו ואשר האלהים הקימו מן המתים כי בשמו עמד זה לפניכם בריא׃
Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità: