Hai cercato la traduzione di yaani da Swahili a Ebraico

Traduzione automatica

Imparare a tradurre dagli esempi di traduzione forniti da contributi umani.

Swahili

Hebrew

Informazioni

Swahili

yaani

Hebrew

 

Da: Traduzione automatica
Suggerisci una traduzione migliore
Qualità:

Contributi umani

Da traduttori professionisti, imprese, pagine web e archivi di traduzione disponibili gratuitamente al pubblico.

Aggiungi una traduzione

Swahili

Ebraico

Informazioni

Swahili

ambaye kwa njia yake tunakombolewa, yaani dhambi zetu zinaondolewa.

Ebraico

אשר יש לנו בו הפדיון בדמו סליחת החטאים׃

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

yaani, badala ya kufanya lile jambo jema ninalotaka, nafanya lile baya nisilotaka.

Ebraico

כי אינני עשה הטוב אשר אני רצה בו כי אם הרע אשר אינני רצה בו אותו אני עשה׃

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

mungu hakuwaweka malaika wautawale ulimwengu ujao, yaani ulimwengu ule tunaoongea habari zake.

Ebraico

כי לא תחת יד המלאכים שת את העולם הבא אשר אנחנו מדברים עליו׃

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

yeye ametufungulia njia mpya na yenye uzima kupitia lile pazia, yaani kwa njia ya mwili wake mwenyewe.

Ebraico

דרך חדש וחי אשר חדש לנו בפרכת היא בשרו׃

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

maana kwa damu yake kristo sisi tunakombolewa, yaani dhambi zetu zinaondolewa. ndivyo ulivyo ukuu wa neema yake

Ebraico

אשר בו לנו הפדיום בדמו וסליחת הפשעים כרב חסדו׃

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

basi, acheni mwenendo wenu wa awali, yaani ule utu wenu wa kale uliokuwa unaangamizwa kwa tamaa zake danganyifu.

Ebraico

אשר תסורו מדרכיכם הראשנים ותפשטו את האדם הישן הנשחת בתאות התרמית׃

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

"waheshimu baba na mama yako," hii ndiyo amri ya kwanza ambayo imeongezewa ahadi, yaani,

Ebraico

כבד את אביך ואת אמך זאת היא המצוה הראשונה אשר לה ההבטחה׃

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta

Swahili

akalikamata lile joka--nyoka wa kale, yaani ibilisi au shetani--akalifunga kwa muda wa miaka elfu moja.

Ebraico

ויתפש את התנין את הנחש הקדמוני הוא המלשין והוא השטן ויאסרהו לאלף שנים׃

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

yeye hutoa huduma ya kuhani mkuu katika mahali patakatifu sana, yaani ndani ya ile hema ya kweli iliyojengwa na bwana, siyo na binadamu.

Ebraico

והוא משרת הקדש והמשכן האמתי אשר כוננו אדני ולא אדם׃

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

theluthi moja ya wanaadamu waliuawa kwa mabaa hayo matatu yaani, moto, moshi na kiberiti, yaliyokuwa yanatoka katika vinywa vyao;

Ebraico

ותומת שלישית בני אדם בשלש האלה באש ובקיטור ובגפרית היצאות מפיהם׃

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

maana mungu ametia mioyoni mwao nia ya kutekeleza shabaha yake, yaani kwa kukubaliana wao kwa wao na kumpa huyo mnyama mamlaka yao ya kutawala, mpaka hapo neno la mungu litakapotimia.

Ebraico

כי האלהים נתן בלבם לעשות את עצתו ולעשות עצה אחת ולתת את ממשלתם לחיה עד כי ישלמו דברי האלהים׃

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

yesu aliinuliwa juu mpaka upande wa kulia wa mungu, akapokea kutoka kwa baba ile zawadi aliyoahidi yaani roho mtakatifu; na mnachoona sasa na kusikia ni mmiminiko wa huyo roho.

Ebraico

ועתה אחרי הנשאו בימין האלהים לקח מאת האב את הבטחת רוח הקדש וישפך את אשר אתם ראים ושמעים׃

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

na sasa nafurahi kuteseka kwa ajili yenu, maana kwa mateso yangu hapa duniani, nasaidia kukamilisha kile kilichopungua bado katika mateso ya kristo kwa ajili ya mwili wake, yaani kanisa.

Ebraico

עתה הנני שמח בענויי אשר אני סבל למענכם ואמלא את החסר ביסורי המשיח בבשרי בעד גופו היא העדה׃

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

kwa wayahudi nimeishi kama myahudi ili niwapate wayahudi; yaani, ingawa mimi siko chini ya sheria, nimejiweka chini ya sheria kwao, ili niwapate hao walio chini ya sheria.

Ebraico

ואהי ליהודים כיהודי לקנות היהודים ואשר הם תחת התורה הייתי להם כמו תחת התורה למען קנות אותם אשר תחת התורה׃

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

mto huo ulitiririka kupitia katikati ya barabara kuu ya mji. kandokando ya mto huo kulikuwa na mti wa uzima unaozaa matunda mara kumi na mbili kwa mwaka, yaani kila mwezi; na majani yake ni dawa ya kuwaponya watu wa mataifa.

Ebraico

ובתוך רחוב העיר ואל שפת הנחל מזה ומזה עץ חיים עשה פרי שנים עשר כי מדי חדש בחדשו יתן את פריו ועלה העץ לתרופת הגוים׃

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

basi, atatoka nje, ataanza kuyapotosha mataifa yote yaliyotawanyika kila mahali duniani, yaani gogu na magogu. shetani atawakusanya pamoja kwa ajili ya vita; nao watakuwa wengi kama mchanga wa pwani.

Ebraico

ויצא להדיח את הגוים בארבע כנפות הארץ את גוג ומגוג ולקבצם למלחמה אשר מספרם כחול הים׃

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

"wale wanaoshinda nitawafanya wawe minara katika hekalu la mungu wangu, na hawatatoka humo kamwe. pia nitaandika juu yao jina la mungu wangu na jina la mji wa mungu wangu, yaani yerusalemu mpya, mji ambao utashuka kutoka juu mbinguni kwa mungu wangu. tena nitaandika juu yao jina langu jipya.

Ebraico

המנצח אתננו לעמוד בהיכל אלהי ולא יצא עוד החוצה וכתבתי עליו את שם אלהי ואת שם עיר אלהי ירושלים החדשה הירדת משמים מעם אלהי ואת שמי החדש׃

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta

Ottieni una traduzione migliore grazie a
7,729,876,669 contributi umani

Ci sono utenti che chiedono aiuto:



I cookie ci aiutano a fornire i nostri servizi. Utilizzando tali servizi, accetti l'utilizzo dei cookie da parte nostra. Maggiori informazioni. OK