Hai cercato la traduzione di mgonjwa da Swahili a Esperanto

Traduzione automatica

Imparare a tradurre dagli esempi di traduzione forniti da contributi umani.

Swahili

Esperanto

Informazioni

Swahili

mgonjwa

Esperanto

 

Da: Traduzione automatica
Suggerisci una traduzione migliore
Qualità:

Contributi umani

Da traduttori professionisti, imprese, pagine web e archivi di traduzione disponibili gratuitamente al pubblico.

Aggiungi una traduzione

Swahili

Esperanto

Informazioni

Swahili

ni lini tulikuona ukiwa mgonjwa au mfungwa nasi tukaja kukutazama?

Esperanto

kaj kiam ni vidis vin malsana aux en malliberejo, kaj venis al vi?

Ultimo aggiornamento 2012-05-06
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

erasto alibaki korintho, naye trofimo nilimwacha mileto kwa sababu alikuwa mgonjwa.

Esperanto

erasto restis en korinto; sed trofimon mi lasis malsanan en mileto.

Ultimo aggiornamento 2012-05-06
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

basi, hapo palikuwa na mtu mmoja aliyekuwa mgonjwa kwa muda wa miaka thelathini na minane.

Esperanto

kaj tie estis unu viro, kiu estis tridek ok jarojn en sia malforteco.

Ultimo aggiornamento 2012-05-06
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

lakini wao wakakaa kimya. yesu akamshika huyo mgonjwa, akamponya, akamwacha aende zake.

Esperanto

sed ili silentis. kaj li prenis lin kaj sanigis lin, kaj forliberigis lin.

Ultimo aggiornamento 2012-05-06
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

wakiomba kwa imani mgonjwa ataponyeshwa; bwana atampatia nafuu, na dhambi alizotenda zitaondolewa.

Esperanto

kaj la pregxo de fido savos la malsanulon, kaj la sinjoro relevos lin; kaj se li faris pekojn, tio estos pardonita al li.

Ultimo aggiornamento 2012-05-06
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

basi, hao dada wakatuma ujumbe huu kwa yesu: "bwana, rafiki yako ni mgonjwa!"

Esperanto

la fratinoj do sendis al li, dirante:sinjoro, jen tiu, kiun vi amas, estas malsana.

Ultimo aggiornamento 2012-05-06
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta

Swahili

huko kulikuwa na jemadari mmoja mroma ambaye alikuwa na mtumishi wake aliyempenda sana. huyu mtumishi alikuwa mgonjwa karibu kufa.

Esperanto

kaj sklavo de unu centestro, kiu estis kara por li, estis malsana kaj preskaux mortanta.

Ultimo aggiornamento 2012-05-06
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

nilikuwa uchi, mkanivika; nilikuwa mgonjwa nanyi mkaja kunitazama; nilikuwa gerezani nanyi mkaja kunitembelea.

Esperanto

nuda, kaj vi vestis min; mi malsanis, kaj vi vizitis min; mi estis en malliberejo, kaj vi venis al mi.

Ultimo aggiornamento 2012-05-06
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

je, yuko mgonjwa kati yenu? anapaswa kuwaita wazee wa kanisa, nao watamwombea na kumpaka mafuta kwa jina la bwana.

Esperanto

cxu iu el vi malsanas? li venigu la presbiterojn de la eklezio; kaj ili pregxu super li, sxmirinte lin per oleo en la nomo de la sinjoro;

Ultimo aggiornamento 2012-05-06
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

maria ndiye yule aliyempaka bwana marashi na kumpangusa kwa nywele zake. lazaro, kaka yake, ndiye aliyekuwa mgonjwa.)

Esperanto

tiu maria, kies frato lazaro estis malsana, estis tiu sama, kiu sxmiris la sinjoron per sxmirajxo kaj visxis liajn piedojn per siaj haroj.

Ultimo aggiornamento 2012-05-06
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

yesu alifika tena huko mjini kana, mkoani galilaya, mahali alipogeuza maji kuwa divai. kulikuwa na ofisa mmoja aliyekuwa na mtoto mgonjwa huko kafarnaumu.

Esperanto

li revenis en kanan galilean, kie li faris la akvon vino. kaj estis unu kortegano, kies filo estis malsana en kapernaum.

Ultimo aggiornamento 2012-05-06
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

na hapo palikuwa na mwanamke mmoja aliyekuwa mgonjwa kwa miaka kumi na minane kutokana na pepo aliyekuwa amempagaa. kwa sababu hiyo, mwili wake ulikuwa umepindika vibaya hata asiweze kusimama wima.

Esperanto

kaj jen virino, kiu dum dek ok jaroj havis spiriton de malforteco; kaj sxi estis kunkurbita kaj neniel povis levigxi.

Ultimo aggiornamento 2012-05-06
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

mtu mmoja aitwaye lazaro, mwenyeji wa bethania, alikuwa mgonjwa. (kijiji cha bethania kilikuwa mahali walipokaa maria na martha, dada yake.

Esperanto

kaj estis unu malsanulo, nomata lazaro, el betania, la vilagxo de maria kaj sxia fratino marta.

Ultimo aggiornamento 2012-05-06
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

timu ya rais wa zambia, michael sata ilipotoa picha hizo zinazosemekana kuwa ni za kikao cha baraza la mawaziri kwa vyombo vya habari vya nchi hiyo na kuzichapisha kwenye ukurasa wa facebook, lengo lilikuwa kumaliza madai kwamba kiongozi huyo ni mgonjwa na hajawa akifanya kazi.

Esperanto

la teamo de michael sata, la prezidanto de zambio, publikigis fotojn, laŭsupoze de la kabineta kunveno, al lokaj amaskomunikiloj kaj en fejsbuko.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

"hapo nao watajibu, bwana, ni lini tulikuona ukiwa na njaa au kiu, ukiwa mgeni au bila nguo, ukiwa mgonjwa au mfungwa, nasi hatukuja kukuhudumia?

Esperanto

tiam ili ankaux respondos, dirante:sinjoro, kiam ni vidis vin malsata, aux soifanta, aux fremda, aux nuda, aux malsana, aux en malliberejo, kaj ne servis al vi?

Ultimo aggiornamento 2012-05-06
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta

Ottieni una traduzione migliore grazie a
7,793,370,630 contributi umani

Ci sono utenti che chiedono aiuto:



I cookie ci aiutano a fornire i nostri servizi. Utilizzando tali servizi, accetti l'utilizzo dei cookie da parte nostra. Maggiori informazioni. OK