Da traduttori professionisti, imprese, pagine web e archivi di traduzione disponibili gratuitamente al pubblico.
basi, kutokana na tofauti hii, yesu amekuwa mdhamini wa agano lililo bora zaidi.
sedavõrd on palju parem ka leping, mille käemeheks on saanud jeesus.
Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
wewe hukunisalimu kwa kunibusu, lakini huyu mwanamke tangu nilipoingia hapa amekuwa akiibusu miguu yangu.
sa ei annud mulle suud; tema aga ei ole sellest ajast, kui ta sisse tuli, lakanud minu jalgadele suud andmast.
Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
yesu ametangulia kuingia humo kwa niaba yetu, na amekuwa kuhani mkuu milele, kufuatana na utaratibu wa ukuhani wa melkisedeki.
kuhu eeljooksjana meie heaks on läinud sisse jeesus, kui ta sai ülempreestriks igavesti melkisedeki korra järgi.
Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
saulo alipofika yerusalemu alijaribu kujiunga na wale wanafunzi. lakini wote walimwogopa, na hawakuweza kuamini kwamba yeye amekuwa mfuasi.
kui siis saulus jõudis jeruusalemma, püüdis ta liituda jüngrite hulka, aga nemad kõik kartsid teda ega uskunud, et ta on jünger.
Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
mpokeeni kwa ajili ya bwana kama iwapasavyo watu wa mungu. mpeni msaada wowote atakaohitaji kutoka kwenu, maana yeye amekuwa mwema sana kwa watu wengi na kwangu pia.
et te võtaksite teda vastu issandas, nõnda nagu sobib pühadele, ja oleksite temale abiks kõiges, milles temal iganes teid on vaja. sest tema on abiks olnud paljudele, ka mulle enesele.
Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
wengine kati ya wale wafuasi wa kaisarea walienda pamoja nasi, wakatupeleka nyumbani kwa mnasoni ambaye tulikuwa tunakwenda kukaa naye kwa muda. mnasoni alikuwa mwenyeji wa kupro na alikuwa amekuwa muumini kwa siku nyingi.
ja meiega ühes tulid mõned jüngrid kaisareast, kes meid viisid ühe vana jüngri mnaasoni, küprose mehe juurde, kelle külaliseks me pidime jääma.
Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
abrahamu aliamini na kutumaini ingawa hali yenyewe ilikuwa bila matumaini, na hivyo amekuwa baba wa mataifa mengi kama maandiko matakatifu yasemavyo: "wazao wako watakuwa wengi kama nyota!"
tema uskus üle lootuse lootuses, et ta saab paljude rahvaste isaks vastavalt sõnale: „nõnda peab olema sinu sugu!”
Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta
basi, pamoja na ndugu hao, tumemtuma ndugu yetu mwingine ambaye mara nyingi tumempa majaribio mbalimbali, tukamwona kuwa ni mwenye hamu kubwa ya kusaidia; hata sasa amekuwa na moyo zaidi kwa sababu ana imani sana nanyi.
me aga läkitasime ühes nendega veel oma venna, kelle innukust me oleme sageli saanud tunda paljudes asjades ja kes on nüüd veel palju innukam selle suure usalduse t
Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
abrahamu alitahiriwa baadaye, na kutahiriwa huko kulikuwa alama iliyothibitisha kwamba mungu alimkubali kuwa mwadilifu kwa sababu ya imani yake aliyokuwa nayo kabla ya kutahiriwa. kwa hiyo, abrahamu amekuwa baba wa wale wote ambao, ingawa hawakutahiriwa, wamemwamini mungu, wakafanywa waadilifu.
ja ümberlõikamise märgi ta sai selle usu õiguse kinnituseks, mis tal oli ümberlõikamata põlves, et ta oleks kõikide isa, kes usuvad ümberlõikamatutena, et õigus arvatakse ka neile osaks
Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità: