Hai cercato la traduzione di mswada da Swahili a Francese

Traduzione automatica

Imparare a tradurre dagli esempi di traduzione forniti da contributi umani.

Swahili

French

Informazioni

Swahili

mswada

French

 

Da: Traduzione automatica
Suggerisci una traduzione migliore
Qualità:

Contributi umani

Da traduttori professionisti, imprese, pagine web e archivi di traduzione disponibili gratuitamente al pubblico.

Aggiungi una traduzione

Swahili

Francese

Informazioni

Swahili

siwezi kuelewa wanaounga mkono mswada huu!

Francese

je ne peux pas comprendre le soutien à la loi# # ouganda antigaybill!

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

mtumiaji mwingine, vitaliy diachenko aliudhihaki mswada huu:

Francese

vitaliy diachenko ironise sur la proposition :

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

mwandishi wa habari, iryna slavinska aliukosoa mswada huu :

Francese

la journaliste iryna slavinska critique la proposition :

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

wadda mutebi alitoa maneno makali kwa wanaopinga mswada huo:

Francese

wadda mutebi réagit contre les adversaires de la loi:

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

sichukulii upinzani kuwa kinga kwa wote, lakini ninauunga mkono mswada huu.

Francese

je ne pense pas que le parti “svoboda” puisse tout résoudre, mais je soutiens cette loi !

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

mswada huu umeleta mkanganyiko mkubwa kiasi cha kuibua mijadala mikali katika mitandao ya intaneti na uraiani.

Francese

le projet de loi est très controversé et fait l'objet de discussions passionnées en ligne et hors ligne.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

katika taarifa ya kufafanua mswada huo, watunzi wa mswada huo walitetea ulazima wa kupitishwa sheria hiyo kwa hoja zifuatazo :

Francese

dans la note explicative du projet de loi, les auteurs argumentent ainsi la nécessité de telles restrictions :

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

wanaharakati wa haki za mashoga walianza kuwashinikiza wabunge waurudie mswada huo mwezi oktoba mwaka huu na usomaji wa wazi wa muswada huo ulifanyika oktoba 16.

Francese

les militants ont alors exigé des législateurs qu'ils reprennent leur travail et, le 16 octobre de cette année, s'est tenue une audience publique pour la présentation de cette loi.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

hata hivyo, baada ya kufanyiwa upembuzi zaidi imeonekana kwamba hakuna mabadiliko yaliyofanyika kwenye mswada huo, na bado uko vilevile kama ulivyowasilishwa mwaka 2009.

Francese

il déclare avoir éliminé la peine de mort et l’emprisonnement pour les familles qui ne dénonceraient pas les rapports homosexuels de leurs parents aux autorités.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

mambo pekee ambayo hayakujumuishwa kabisa katika mswada huu ni pamoja na mazingira ambayo mimba inahatarisha maisha ya mama mjamzito, ugonjwa uliothibitishwa kuwa mtoto hatapona na ujauzito uliothibitika kuwa ulitokana na kubakwa.

Francese

les seules exceptions prévues par le projet sont : en cas de danger pour la vie de la femme enceinte, en cas de pathologies graves du fétus et quand il est prouvé que la grossesse est le résultat d'un viol.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

kwa mujibu wa pendekezo hilo la wizara, mswada huo unaandaliwa kiasi kwamba utaruhusu kupima kiwango cha kazi iliyofanywa na akina mama wa nyumbani kwa mtizamo wa makubaliano ya kiuchumi na kutambua mchango huu katika uchumi kwa kuwafidia akina mama hawa wa nyumbani kulingana na kazi wanazozifanya.

Francese

en application du projet du ministère, un cadre est élaboré qui permettra de chiffrer le travail produit par les ménagères en termes économiques puis la reconnaissance de cette contribution à l'économie en rémunérant les femmes au foyer pour leur labeur.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

ninakubaliana na swala la kuwawezesha wanawake, pia na uhuru wao katika masuala ya kiuchumi…… lakini swali langu kubwa hapa kwa hawa watungaji wa sheria ni kuwa, ni kwa namna gani wataweza kuutekeleza mswada huu wa sheria?

Francese

je suis pour l'amélioration du statut des femmes, et aussi leur indépendance financière... (mais) ma plus grosse question à ces législateurs est comment prévoient-ils d'appliquer l'idée ?

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

kufuatia kujiuzulu kwa kushtukiza kwa serikali ya boyko borisov mnamo februari 20, kulikokuja mara baada ya maandamano yaliyotanguliawhich came after an earlier protest kuhatarisha amani zaidi, wanaharakati wa harakati za maandamano waliitisha mkutano katika jiji la sliven na walikubaliana mambo wanayoyahitaji: sio kuliahirisha bunge; rais anapaswa kuwateua wataalamu watakaoiunda serikali mpya, badala ya kuifanya kuwa serikali ya mpito, kuandaa mswada wa ushirikishwaji wa wananchi utakaoruhusu uhusika wa asilimia 50 ya raia katika taasisi zote, kurudisha serikalini asilimia 51 ya sekta zote za nishati, kuisimamia kampuni ya nishati ya bulgaria (beh), ili isiikandamize sekta ya nishati; kuitisha mkutano mkuu wa bunge pamoja na kuandaa mkakati wa kuwarudisha tena wabunge.

Francese

dans la foulée de la démission surprise du gouvernement de boïko borisov le 20 février, qui faisait suite à une manifestation précédente tournée à la violence , les meneurs du mouvement contestataire ont tenu une réunion dans la ville de sliven et se sont accordés sur une liste de revendications : non à la dissolution du parlement ; le président doit désigner un gouvernement de techniciens et non un cabinet pour expédier les affaires courantes ; rédiger un projet de loi de participation civile assurant un quota de 50% de civils dans toutes les institutions ; redonner 51% des actions du secteur énergétique à l'etat ; liquider la holding bulgare de l'energie, beh, qui assèche le secteur énergétique ; convoquer la grande assemblée générale en instaurant une procédure de rappel des députés.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Ottieni una traduzione migliore grazie a
7,776,616,709 contributi umani

Ci sono utenti che chiedono aiuto:



I cookie ci aiutano a fornire i nostri servizi. Utilizzando tali servizi, accetti l'utilizzo dei cookie da parte nostra. Maggiori informazioni. OK