Da traduttori professionisti, imprese, pagine web e archivi di traduzione disponibili gratuitamente al pubblico.
the art of ama ata aidoo ni filamu iliyotayarishwa na mtayarishaji wa filamu yaba badoe:
the art of ama ata aidoo is a film by filmmaker yaba badoe:
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
the art of ama ata aidoo (teaser) from big heart media kwenye mtandao wa vimeo.
the art of ama ata aidoo (teaser) from big heart media on vimeo.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
the art of ama ata aidoo, inasaili mchango wa kisanii wa mmoja wa waandishi wanawake mashuhuri barani afrika, anayeongoza kizazi hiki kwa kipaji kipya cha pekee.
the art of ama ata aidoo, explores the artistic contribution of one of africa's foremost women writers, a trailblazer for an entire generation of exciting new talent.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
dokumentari hii inasaili safari ya ubunifu ya ama ata aidoo ya miongo saba kuanzia enzi za ghana inayotawaliwa na wakoloni, kupitia nyakati za uhuru, mpaka afrika ya leo ambako ubunifu wa vipaji vya wanawake hauonekani kiwepesi.
this feature-length documentary charts ama ata aidoo's creative journey in a life that spans 7 decades from colonial ghana, through the tumultuous era of independence, to a more sober present day africa where nurturing women's creative talent remains as hard as ever.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità: