Imparare a tradurre dagli esempi di traduzione forniti da contributi umani.
Da traduttori professionisti, imprese, pagine web e archivi di traduzione disponibili gratuitamente al pubblico.
kaka wa mhadhiri huyo, carolos pereira, anayeishi lisbon, aliiambia sauti la marekani :
the brother of the professor, carlos pereira, who lives in lisbon, said to voice of america :
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
leonid kalashnikov, naibu mwakilishi wa kamati ya bunge la urusi ya mambo ya kimataifa, aliiambia tv rain haikuwa na maana yoyote kujua nani wa kumlaumu kwa kuiangusha ndege hiyo:
leonid kalashnikov, deputy representative to the russian parliamentary committee on international affairs, told tv rain it didn't really matter who was to blame for the downing of the aircraft:
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
mohamed gabow, meya wa garissa, aliiambia reuters kuwa uandikishaji huo wa vijana wa kikenya wenye asili ya kisomali ulikuwa unafanywa katika nyumba moja kwenye kijiji cha bulla iftin, kilichopo pembezoni mwa mji wake.
mohamed gabow, the mayor of garissa, told reuters the enrolment of ethnic somali kenyans was being conducted at a home in bulla iftin village, on the outskirts of his town.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
mwandishi kutoka kwenye chombo cha habari cha mtandaoni kiitwacho novatv, sashka cvetkovska, aliiambia radio free ulaya kwamba walikuwa wamepewa ruhusa na polisi kupiga picha na kuchukua vieo za ghasia hizo, lakini mambo yanaonekana yalibadilika wakati polisi walipoanza kuwakamata waandamanaji:
a journalist from the web portal novatv, sashka cvetkovska, told radio free europe that they had initially been granted a permit by police authorities to take photos and videos of the riots, but things seemed to change when the police started arresting the protesters:
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità: