Imparare a tradurre dagli esempi di traduzione forniti da contributi umani.
Da traduttori professionisti, imprese, pagine web e archivi di traduzione disponibili gratuitamente al pubblico.
magazeti na majarida huru yanayochapishwa nchini humo hayaruhusiwi gerezani; eskinder alinieleza zaidi kwamba hata cheneli za tv kama bbc na aljazeera haziruhusiwi kutazamwa kwenye maeneo ambayo yeye na wenzake wamefugwa.
local independent newspapers and magazines are not also allowed in; eskinder further explained it to me that even news tv channels like bbc and aljazeera are not allowed to be viewed in zones where he and others are imprisoned.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
ukiwasha luninga yako na kipokea satelaiti nchini tunisia unaweza kutazama aljazeera, aljazeera idhaa ya kiingereza, aljazeera kwa watoto, aljazeera idhaa ya filamu za kuelimisha, aljazeera live, aljazeera michezo siku nzima.
you switch on your tv and satellite receiver in tunisia and you can watch aljazeera, aljazeera english, aljazeera children, aljazeera documentary, aljazeera live, aljazeera sport all day.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
@nadiae: motaz al-khateeb, ambaye ni mtayarishaji wa kipindi cha televisheni cha shehe al-qaradawi's katika aljazeera alizungumza na katibu muhtasi wa shehe huyo akimkariri akisema kuwa bado anafikiria kujiuzuru.
@nadiae: motaz al-khateeb producer of sheikh al-qaradawi's aljazeera show spoke with sheikh's secretary who says he is still considering resignation
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità: