Da traduttori professionisti, imprese, pagine web e archivi di traduzione disponibili gratuitamente al pubblico.
wale wanafunzi walipomfikia yesu wakamwambia, "yohane mbatizaji ametutuma kwako tukuulize: wewe ndiye yule ajaye, au tumtazamie mwingine?"
when the men were come unto him, they said, john baptist hath sent us unto thee, saying, art thou he that should come? or look we for another?
Ultimo aggiornamento 2012-05-06
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta
wao wakamjibu, "jemadari kornelio ambaye ni mtu mwema, mcha mungu na mwenye kuheshimika mbele ya wayahudi wote ametutuma. aliambiwa na malaika mtakatifu akualike nyumbani kwake ili asikilize chochote ulicho nacho cha kusema."
and they said, cornelius the centurion, a just man, and one that feareth god, and of good report among all the nation of the jews, was warned from god by an holy angel to send for thee into his house, and to hear words of thee.
Ultimo aggiornamento 2012-05-06
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta