Hai cercato la traduzione di derakhshan da Swahili a Inglese

Traduzione automatica

Imparare a tradurre dagli esempi di traduzione forniti da contributi umani.

Swahili

English

Informazioni

Swahili

derakhshan

English

 

Da: Traduzione automatica
Suggerisci una traduzione migliore
Qualità:

Contributi umani

Da traduttori professionisti, imprese, pagine web e archivi di traduzione disponibili gratuitamente al pubblico.

Aggiungi una traduzione

Swahili

Inglese

Informazioni

Swahili

serikali ya kanada bado haijatoa msimamo wake hadharani kuhusu kesi ya derakhshan.

Inglese

the canadian government has not been publicly vocal on derakhshan's case.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

irani: huenda mwanablogu aliyefungwa, hossein derakhshan (”hoder”), akakabiliwa na hukumu ya kifo

Inglese

iran: jailed blogger, hossein derakhshan ("hoder") may face death penalty · global voices

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta

Swahili

derakhshan ana pasi ya kanada, lakini irani bado haitambui uraia wa nchi mbili, na kutembelea israeli ni jambo ambalo linaichukiza sana na serikali ya nchi hiyo.

Inglese

derakhshan holds a canadian passport, but iran does not recognize dual citizenship and visiting israel is frowned upon by the government.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

katika mkutano wa 2004, mwanablogu wa kiirani hossein derakhshan alielezea matumaini kwamba kuenea kwa uanahabari wa kiraia kwenye wavuti kutazifanya jamii kuwa za kidemokrasi zaidi na kwa serikali kuapta ugumu zaidi katika kuhalalisha vita.

Inglese

at the 2004 meeting, iranian blogger hossein derakhshan expressed the hope that the spread of online citizen media would make societies more democratic and war more difficult for governments to justify.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

katika blogu iliyoanzishwa na familia ya derakshan, edalat baraye hossein derakhshan(ikiwa na maana ya haki kwa ajili ya hossein derakshan) bado hakuna taarifa mpya zinazohusiana na taarifa hii.

Inglese

in a blog created by derakhshan's family, edalat baraye hossein derakhshan (meaning justice for hossein derakhshan) there are still no reports or updates on this topic.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

chanzo cha kuaminika kimeifahamisha global voices kwamba mwendesha mashtaka huko tehran analenga kuhakikisha kwamba mwanablogu aliyefungwa hossein derakhshan (anayefahamika pia kama "hoder") anapewa adhabu ya kifo.

Inglese

a reliable source has told global voices that tehran's prosecutor is seeking the death penalty for jailed iranian blogger hossein derakhshan (also known as "hoder").

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta

Swahili

"haki kwa hossein derakhshan" blogu ilitangaza mnamo oktoba 16, 2013 kwamba mamlaka ya iran imepunguza kifungo cha jela cha mwanablogu wa iran hossein derakhshan (pia anajulikana kama “hoder”) hadi miaka 17 kutoka miaka 19.5 derakhshan alikamatwa mnamo novemba 1, 2008.

Inglese

the "justice for hossein derakhshan" blog announced on october 16, 2013 that iranian authorities have reduced the jail sentence of iranian blogger hossein derakhshan (also known as “hoder”) to 17 years from 19.5 years. derakhshan was arrested on november 1, 2008.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta

Ottieni una traduzione migliore grazie a
7,771,053,768 contributi umani

Ci sono utenti che chiedono aiuto:



I cookie ci aiutano a fornire i nostri servizi. Utilizzando tali servizi, accetti l'utilizzo dei cookie da parte nostra. Maggiori informazioni. OK