Imparare a tradurre dagli esempi di traduzione forniti da contributi umani.
Da: Traduzione automatica
Suggerisci una traduzione migliore
Qualità:
Da traduttori professionisti, imprese, pagine web e archivi di traduzione disponibili gratuitamente al pubblico.
ee bwana twakuomba
we pray oh lord
Ultimo aggiornamento 2014-06-06
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
bwana ni nuru wokovu wangu
Ultimo aggiornamento 2024-02-20
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
mke mwema mtu hupewa na mungu
i tangu uhusiano wa kwanza wa mungu na mwanadamu, amekuwa akifichua kwao kiini chake na vile alivyo na alicho nacho, bila kukoma, kila wakati. kama watu katika enzi wanaweza kuona au kuelewa, mungu huzungumza na kufanya kazi ili kuonyesha tabia yake na kiini. havijawahi kufunikwa wala kufichwa kamwe, vimeachiliwa bila kusita, kiini na tabia ya mungu, nafsi yake na miliki yake, vinafichuliwa anapofanya kazi na kushirikiana na mwanadamu. ii mungu anatumaini mwanadamu aweza kumwelewa, ajue kiini chake, na tabia, ambavyo hataki vichukuliwe kama siri za milele. wala hataki mwanadamu amwone yeye kama kitendawili ambacho hakiwezi kutatuliwa. havijawahi kufunikwa wala kufichwa kamwe, vimeachiliwa bila kusita, kiini na tabia ya mungu, nafsi yake na miliki yake, vinafichuliwa anapofanya kazi na kushirikiana na mwanadamu. iii ni wakati tu binadamu amemjua mungu ndipo anaweza kujua njia ya kwendelea, kustahili kuongozwa na mungu. ataishi chini ya mamlaka yake na kuishi katika mwanga na baraka zake. havijawahi kufunikwa wala kufichwa kamwe, vimeachiliwa bila kusita, kiini na tabia ya mungu, nafsi yake na miliki yake. havijawahi kufunikwa wala kufichwa kamwe, vimeachiliwa bila kusita, kiini na tabia ya mungu, nafsi yake na miliki yake, vinafichuliwa anapofanya kazi na kushirikiana na mwanadamu. kutoka kwa neno laonekana katika mwili
Ultimo aggiornamento 2021-05-27
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
unataka mke mwema, ni nani atanipa
you want a good wife, who will give me
Ultimo aggiornamento 2021-06-09
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
bwana ni nguvu zangu za maisha yangu
my strength it’s you lord
Ultimo aggiornamento 2022-10-13
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
mwanafunzi huyo akasogea karibu zaidi na yesu, akamwuliza, "bwana, ni nani?"
he then lying on jesus' breast saith unto him, lord, who is it?
Ultimo aggiornamento 2012-05-06
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta
hapa "bwana" ni roho; na pale alipo roho wa bwana ndipo ulipo uhuru.
now the lord is that spirit: and where the spirit of the lord is, there is liberty.
Ultimo aggiornamento 2012-05-06
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta
simoni petro alipoona hayo, akapiga magoti mbele ya yesu akisema, "ondoka mbele yangu, ee bwana, kwa kuwa mimi ni mwenye dhambi!"
when simon peter saw it, he fell down at jesus' knees, saying, depart from me; for i am a sinful man, o lord.
Ultimo aggiornamento 2012-05-06
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta
lakini wote hawakuipokea hiyo habari njema. maana isaya alisema: "bwana, ni nani aliyeamini ujumbe wetu?"
but they have not all obeyed the gospel. for esaias saith, lord, who hath believed our report?
Ultimo aggiornamento 2012-05-06
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta
"hapo nao watajibu, bwana, ni lini tulikuona ukiwa na njaa au kiu, ukiwa mgeni au bila nguo, ukiwa mgonjwa au mfungwa, nasi hatukuja kukuhudumia?
then shall they also answer him, saying, lord, when saw we thee an hungred, or athirst, or a stranger, or naked, or sick, or in prison, and did not minister unto thee?
Ultimo aggiornamento 2012-05-06
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta
bwana, ni nani asiyekucha wewe? nani asiyelitukuza jina lako? wewe peke yako ni mtakatifu. mataifa yote yatakujia na kukuabudu maana matendo yako ya haki yameonekana na wote."
who shall not fear thee, o lord, and glorify thy name? for thou only art holy: for all nations shall come and worship before thee; for thy judgments are made manifest.
Ultimo aggiornamento 2012-05-06
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta
basi, wakalia kwa sauti kubwa: "ee bwana, uliye mtakatifu na mwaminifu, mpaka lini utakawia kulipiza kisasi kwa wakazi wote wa dunia kwa ajili ya kuuawa kwetu?"
and they cried with a loud voice, saying, how long, o lord, holy and true, dost thou not judge and avenge our blood on them that dwell on the earth?
Ultimo aggiornamento 2012-05-06
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta
hapo petro akamwambia yesu, "bwana, ni vizuri sana kwamba tupo hapa! ukipenda nitajenga vibanda vitatu: kimoja chako, kimoja cha mose na kimoja cha eliya."
then answered peter, and said unto jesus, lord, it is good for us to be here: if thou wilt, let us make here three tabernacles; one for thee, and one for moses, and one for elias.
Ultimo aggiornamento 2012-05-06
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta
hapo petro akageuka, akamwona yule mwanafunzi ambaye yesu alimpenda, anafuata (huyu mwanafunzi ndiye yule ambaye wakati wa chakula cha jioni, alikaa karibu sana na yesu na kumwuliza: "bwana ni nani atakayekusaliti?")
then peter, turning about, seeth the disciple whom jesus loved following; which also leaned on his breast at supper, and said, lord, which is he that betrayeth thee?
Ultimo aggiornamento 2012-05-06
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta