Imparare a tradurre dagli esempi di traduzione forniti da contributi umani.
Da: Traduzione automatica
Suggerisci una traduzione migliore
Qualità:
Da traduttori professionisti, imprese, pagine web e archivi di traduzione disponibili gratuitamente al pubblico.
karibea: tuzo za fasihi ya kifaransa
caribbean: french literary prizes · global voices
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
karibeani ya kifaransa: tamasha la kanivali 2009 lazinduliwa
french caribbean: carnival 2009 is launched · global voices
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
taarifa kamili inapatikana hapa (na kwa lugha ya kifaransa hapa).
the full report is available here (and in french here).
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
bado, fasihi ya kifaransa ina utajiri wa waandishi wanaotoka nje ya ufaransa.
yet francophone literature is also enriched by authors from outside france.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
habari kama zinavyotokea (katika wakati halisi) mtandaoni zinapatikana kwa lugha ya kifaransa hapa.
live online reports can also be found in french here.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
tazama picha za watoto wanaofaidika na mradi huu katika video ya you tube iliyo katika lugha ya kifaransa:
take a look at photos of children who benefit in this french-language youtube video:
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
lilie belle katika blogu ya maguyane anaielezea kanivali inavyokuwa katika gayana ya kifaransa na anatoa jibu la swali hilo :
lilie belle in maguyane decribes carnival in french guiana and provides an answer to the question :
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
ufuatao ni muhtasari wa blogu kutoka martiniki, gayana ya kifaransa, haiti na guadalupe, ambao unaelezea mambo yanavyokuwa kwenye kanivali.
here is a review of blogs from martinique, french guiana, haiti and guadeloupe, which highlights the features of carnival there.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
na kama mwandani wangu na msenegali mwenzangu, leopold sédar senghor, aliyechaguliwa kuingia taasisi ya kifaransa miaka thelathini iliyopita, mimi ni mtaalamu wa mambo ya kiafrika.
as my colleague and fellow senegalese leopold sédar senghor, elected to the french academy thirty years ago, i am africanist.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
kwa mfano nchini mali, ambapo hali ya lugha iliangaziwa kwenye blogu hii katika kutazama uzungumzaji wa lugha - kibambara kinaonekana kuwa lugha maarufu kuliko hata lugha rasmi ya kifaransa.
an example is mali, whose linguistic profile was explored on this blog in discussing the long-tail of languages - bambara is certainly more used than the official french.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
katika blogu ya brevesdeguyane, tunajifunza jinsi kanivali inavyozinduliwa huko gayana ya kifaransa na tunazivumbua picha za vielelezo vya utamaduni wa kiguyana ya kifaransa wa “touloulous”.
in brevesdeguyane, we learn about the kick-off of carnival in french guiana and discover pictures illustrating the french guianese tradition of the “touloulous“.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
posti ya kwanza ya blogu iliyoandikwa kwa lugha ya kifaransa kuhusu tetemeko la ardhi huko haiti imetokea nje ya nchi hiyo, ikitangaza habari mbaya za kuanguka kwa kasri ya rais, hospitali na majengo mengine na pia tishio la tsunami.
the first blog posts written in french about the earthquake in haiti have come from outside the country, announcing terrible news of the presidential palace , a hospital and other buildings collapsing and also of the threat of a tsunami.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
michel taube, mkurugenzi wa tovuti ya habari inayotumia lugha ya kifaransa "l'opinion internationale" alielezea upinzani wa serikali ya ufaransa kuhusu uchaguzi huo:
michel taube, director of the french-language current affairs website "l'opinion internationale" explained the position of the french government on the poll:
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta
kampuni ya kifaransa ya utibuji wa maji, ijulikanayo kama veolia, na wasambazaji wakuu wa maji jijini lanzhou, ililiambia shirika la habari la serikali la xinhua kuwa, benzini iliyopo kwenye maji imetoka kwenye viwanda vya uchimbaji na usafishaji wa mafuta ya asili.
french water treatment company veolia, the main water supplier in lanzhou, told state-run xinhua news agency that the polluted water might be caused by local petrochemical companies.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
akizungumza na gazeti maarufu la kilebanoni linaloandikwa kwa lugha ya kifaransa "l'orient-le jour", mmoja wa wanaharakati wanaoshiriki kwenye kampeni hiyo alisema:
speaking to leading french language lebanese newspaper "l'orient-le jour", one of the activists participating in the campaign said:
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta
wiki hii, waandishi wawili wenye asili ya kiafrika wanaoandika kwa kifaransa walipewa tuzo mbili zenye kuheshimika sana katika fasihi ya kifaransa: ulimwengu wa blogu za wanaozungumza kifaransa katika karibea umekuwa ukinguruma juu ya kutosheka kwao mara mbili kwa mpigo, katika makala hii kutoka haiti, na hii kutoka guadeloupe na hii kutoka martinique .
this week, two of the most prestigious french literary prizes were awarded to two french-speaking authors of african descent: the french-speaking caribbean blogosphere has been buzzing over this double satisfaction, in this post from haiti, this one from guadeloupe and this one from martinique .
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
#gabon:miaka 43 ya majanga:angalia utakachokiona kwenye chuo kikuu cha omar bongo mjini libreville (video ya kifaransa): http://bit.ly/ifx0jf
#gabon:43 years of disasters: see what you can find at university omar bongo in libreville (video-french): http://bit.ly/ifx0jf
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità: