Imparare a tradurre dagli esempi di traduzione forniti da contributi umani.
Da traduttori professionisti, imprese, pagine web e archivi di traduzione disponibili gratuitamente al pubblico.
atwood anaeleza kwamba kwa sababu ya mazingira ufungwa, hairuhusiwi.
atwood explains that due to the hostage situation, it is not allowed.
Ultimo aggiornamento 2024-03-06
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
kinachoshangaza ni kuwa kuna baadhi ya watu ambao miongoni mwao ndio wanaolaani kitendo hiki na kwa upande mwingine watu hawa wanaamini kuwa kumwaga damu ya muislam ni haramu (yaani hairuhusiwi katika uislam).
what is surprising is that there are some among those who are condemning the act who say that spilling the blood of a muslim is haram .
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
"hairuhusiwi kutumia kijindege cha kamera kisichoruhusiwa katika umbali wa mita 150 juu ya eneo la makazi, mita 50 kutoka kwa mtu, gari, au jengo," kanuni hiyo inasomeka.
"it is not allowed to operate unmanned aircraft under 150 meters above any inhabited are, under 50 meters of distance from any person, ship, vehicle or infrastructure," the regulation reads.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta
@fedupnigerian: #dominionairinflightentertainment (burudanindaniyandegezadominion) hairuhusiwi kupiga makofi baada ya kutua uwanjani, tunaweza tu kushangilia halleluja! #dominionair
@fedupnigerian: #dominionairinflightentertainment it’s not allowed to clap after landing, we can only shout hallelujah! #dominionair
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità: