Hai cercato la traduzione di hapa na pale juu ma bills ni da Swahili a Inglese

Traduzione automatica

Imparare a tradurre dagli esempi di traduzione forniti da contributi umani.

Swahili

English

Informazioni

Swahili

hapa na pale juu ma bills ni

English

 

Da: Traduzione automatica
Suggerisci una traduzione migliore
Qualità:

Contributi umani

Da traduttori professionisti, imprese, pagine web e archivi di traduzione disponibili gratuitamente al pubblico.

Aggiungi una traduzione

Swahili

Inglese

Informazioni

Swahili

lakini kuliendelea kuwa na maneno ya ugomvi wa hapa na pale.

Inglese

but there were a few other close calls.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

lakini nimewaandikia hapa na pale katika barua hii bila woga, nipate kuwakumbusheni juu ya mambo fulani. nimefanya hivyo kwa sababu ya neema aliyonijalia mungu

Inglese

nevertheless, brethren, i have written the more boldly unto you in some sort, as putting you in mind, because of the grace that is given to me of god,

Ultimo aggiornamento 2012-05-06
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

nafanya kazi za hapa na pale …” hajichukulii kuwa hohehahe, kwa sababu “hakuna watu hohehahe katika mji mdogo.

Inglese

doesn't consider himself a hobo, because "there are no hobos in a small town.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta

Swahili

katika siku za hivi karibuni, kumekuwa na taarifa, maoni na habari za hapa na pale zinazotolewa na vyombo vya habari kuhusiana na kazi za taasisi .

Inglese

recently, there have been more and more information, commentaries and random stories appearing in the mass media about the work of the facilities.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

taifa moja litapigana na taifa lingine; ufalme mmoja utapigana na ufalme mwingine. hapa na pale patakuwa na njaa na mitetemeko ya ardhi.

Inglese

for nation shall rise against nation, and kingdom against kingdom: and there shall be famines, and pestilences, and earthquakes, in divers places.

Ultimo aggiornamento 2012-05-06
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

baadhi ya watu walianza kuwa na wasiwasi na utashi wa kisiasa wa rais sata katika kuleta katiba mpya pale alinukuliwa akisema, nchi hii haikuhitaji katiba mpya kabisa bali mabadiliko ya hapa na pale.

Inglese

some started to cast doubt on sata’s commitment to enacting a new constitution when he said that the country did not need a fresh document altogether but only amendments to certain clauses.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

k abahati mbaya, kwenye baadhi ya maeneo maandamano yalikabiliwa na usumbufu wa hapa na pale, hasa uliosababishwa na watu wengine wasiokuwa wanafunzi na ambao hawakuwa na maslahi yoyote kwenye madai hayo.

Inglese

unfortunately, in some places the marches were overshadowed by disturbances, mostly caused by people other than students and who had nothing to do with their demands.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

kuna kurasa za kutafiti za twita “#madagascar”, ambalo ndio neno-kiini ambalo watu wamekuwa wakilitumia wakati wote katika majuma yaliyopita ambayo yalijaa fukuto la kisiasa na ghasia za hapa na pale.

Inglese

this is a live search of twitter for "#madagascar", which is the tag people have been using throughout the past weeks of political tension and occasional violence.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta

Alcuni contributi umani con scarsa rilevanza sono stati nascosti.
Mostra i risultati con scarsa rilevanza.

Ottieni una traduzione migliore grazie a
7,785,311,035 contributi umani

Ci sono utenti che chiedono aiuto:



I cookie ci aiutano a fornire i nostri servizi. Utilizzando tali servizi, accetti l'utilizzo dei cookie da parte nostra. Maggiori informazioni. OK