Da traduttori professionisti, imprese, pagine web e archivi di traduzione disponibili gratuitamente al pubblico.
hapo mtu mmoja katika ule umati wa watu akamjibu, "mwalimu, nimemleta mwanangu kwako, ana pepo aliyemfanya kuwa bubu.
and one of the multitude answered and said, master, i have brought unto thee my son, which hath a dumb spirit;
Ultimo aggiornamento 2012-05-06
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta
yule mjakazi alipomwona tena petro, akaanza tena kuwaambia watu waliokuwa wamesimama hapo, "mtu huyu ni mmoja wao."
and a maid saw him again, and began to say to them that stood by, this is one of them.
Ultimo aggiornamento 2012-05-06
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta
hapo, mtu mmoja katika lile kundi akapaaza sauti, akasema, "mwalimu! ninakusihi umwangalie mwanangu--mwanangu wa pekee!
and, behold, a man of the company cried out, saying, master, i beseech thee, look upon my son: for he is mine only child.
Ultimo aggiornamento 2012-05-06
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta
basi, ningependa ninyi nyote mseme kwa lugha ngeni lakini ningependelea hasa muwe na kipaji cha kutangaza ujumbe wa mungu, maana mtu mwenye kipaji cha kutangaza ujumbe wa mungu, ni wa maana zaidi kuliko yule mwenye kusema lugha ngeni, isipokuwa tu kama yupo hapo mtu awezaye kuyafafanua hayo mambo asemayo, ili kanisa lipate kujengwa.
i would that ye all spake with tongues, but rather that ye prophesied: for greater is he that prophesieth than he that speaketh with tongues, except he interpret, that the church may receive edifying.
Ultimo aggiornamento 2012-05-06
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Alcuni contributi umani con scarsa rilevanza sono stati nascosti.
Mostra i risultati con scarsa rilevanza.