Hai cercato la traduzione di hawara da Swahili a Inglese

Swahili

Traduttore

hawara

Traduttore

Inglese

Traduttore
Traduttore

Traduci istantaneamente testi, documenti e voce con Lara

Traduci ora

Contributi umani

Da traduttori professionisti, imprese, pagine web e archivi di traduzione disponibili gratuitamente al pubblico.

Aggiungi una traduzione

Swahili

Inglese

Informazioni

Swahili

hawara

Inglese

hawara

Ultimo aggiornamento 2013-08-27
Frequenza di utilizzo: 2
Qualità:

Riferimento: Wikipedia

Swahili

mapenzi chenga yakikupiga unasurrender na wengi wakipendwa wanasahau kuna kutendwa mapenzi chenga yakikupiga unasurrender na wengi wakipendwa wanasahau kuna kutendwa wapi mkandarasi wa moyo wa ukuta wa mapenzi unadondoka kinacho ponza wengi ni moyo wakikalia kuti kavu wanadondoka wapi mkandarasi wa moyo wa ukuta wa mapenzi unadondoka kinacho ponza wengi ni moyo wakikalia kuti kavu wanadondoka unajisifu umempata kumbe alo mwacha anamfata anachotaka anakipata wanasema hawara hana talaka unajisifu umempata kumbe alo mwacha anamfata anachotaka anakipata wanasema hawara hana talaka naogopa(naogopa) naogopa(naogopa) naogopa(naogopa) kwenye safari ya mapenzi mi nisiyasikee naogopa(naogopa) naogopa(naogopa) naogopa(naogopa) tena tochi ya mapenzi isinimulike nimeyaona bayana ndo maana sitaki kukumbuka ya jana alivyonidanganya moyo wangu ukapiga danadana nimeyaona bayana ndo maana sitaki kukumbuka ya jana alivyonidanganya moyo wangu ukapiga danadana kwani nini za mapendo ila yakaniteka mapenzi tena nilimweka moyoni ila akaniona mshenzi unaweza sema pesa ndiyo breki ila mapenzi hayasomeki umemteka kwa mali na cheki kumbe vyombo anakula muuza magazeti unayemwita bebi anaweza bebwa kama beki mapenzi yanabadilika unaweza ukamwita shemeji unayemwita bebi anaweza akabebwa kama beki mapenzi yanabadilika unaweza ukamwita shemeji unajisifu umempata kumbe alo mwacha anamfata anachotaka anakipata wanasema hawara hana talaka unajisifu umempata kumbe alo mwacha anamfata anachotaka anakipata wanasema hawara hana talaka naogopa(naogopa) naogopa(naogopa) naogopa(naogopa) kwenye safari ya mapenzi mi nisiyasikee naogopa(naogopa) naogopa(naogopa) naogopa(naogopa) tena tochi ya mapenzi isinimulike

Inglese

i'm afraid of being invent

Ultimo aggiornamento 2019-12-21
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Ottieni una traduzione migliore grazie a
8,941,805,963 contributi umani

Ci sono utenti che chiedono aiuto:



I cookie ci aiutano a fornire i nostri servizi. Utilizzando tali servizi, accetti l'utilizzo dei cookie da parte nostra. Maggiori informazioni. OK