Imparare a tradurre dagli esempi di traduzione forniti da contributi umani.
Da: Traduzione automatica
Suggerisci una traduzione migliore
Qualità:
Da traduttori professionisti, imprese, pagine web e archivi di traduzione disponibili gratuitamente al pubblico.
ninataka kudhibiti pesa zangu mimi mwenyewe, na sio kumtegemea mume wangu kwa kila kitu.
i need to control my own finances, not to depend on a husband for everything.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
lakini, nawaambieni ukweli: afadhali kwenu mimi niende zangu, maana nisipokwenda msaidizi hatakuja kwenu. lakini nikienda, basi, nitamtuma kwenu.
nevertheless i tell you the truth; it is expedient for you that i go away: for if i go not away, the comforter will not come unto you; but if i depart, i will send him unto you.
Ultimo aggiornamento 2012-05-06
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
wakati huo paulo alikwisha tambua kwamba sehemu moja ya wanabaraza wale ilikuwa ni masadukayo na nyingine mafarisayo. basi, alipaaza sauti yake mbele ya baraza: "ndugu zangu, mimi ni mfarisayo, mwana wa mfarisayo. mimi nimeletwa mahakamani kwa kuwa ninatumaini kwamba wafu watafufuka."
but when paul perceived that the one part were sadducees, and the other pharisees, he cried out in the council, men and brethren, i am a pharisee, the son of a pharisee: of the hope and resurrection of the dead i am called in question.
Ultimo aggiornamento 2012-05-06
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta
Alcuni contributi umani con scarsa rilevanza sono stati nascosti.
Mostra i risultati con scarsa rilevanza.