Hai cercato la traduzione di iliyoko da Swahili a Inglese

Traduzione automatica

Imparare a tradurre dagli esempi di traduzione forniti da contributi umani.

Swahili

English

Informazioni

Swahili

iliyoko

English

 

Da: Traduzione automatica
Suggerisci una traduzione migliore
Qualità:

Contributi umani

Da traduttori professionisti, imprese, pagine web e archivi di traduzione disponibili gratuitamente al pubblico.

Aggiungi una traduzione

Swahili

Inglese

Informazioni

Swahili

picha iliyoko kwenye www.koinkeadilan.com

Inglese

image on www.koinkeadilan.com

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

jaribu kuangalia orodha ya blogu iliyoko kwenye tovuti.

Inglese

just take a look at our extensive blogroll.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

jiunge na akaunti ya google iliyoko kwa kuingia upande wa kulia.

Inglese

join the existing google account by signing in on the right.

Ultimo aggiornamento 2021-09-09
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

blogu ya being brazen: hii ni blogu iliyoko afrika ya kusini.

Inglese

being brazen: this is a blog from south africa.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

toa kwanza boriti iliyoko jichoni mwako kabla hujatoka kibanzi kwa jicho la nduguyo

Inglese

first remove the beam out of your own eye

Ultimo aggiornamento 2022-01-07
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

hivi karibuni, masuala ya utawala wa sheria yamekuwa yamekuwa yakitawala serikali iliyoko madarakani.

Inglese

recently, the rule of law has been taking a beating by this pp government.

Ultimo aggiornamento 2023-11-10
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

video hii inawaonyesha mashabiki wa suu kyi waliokuwa wakipunga mikono mbele ya nyumba yake iliyoko kando ya ziwa.

Inglese

this video shows suu kyi waving to supporters in front of her lakeside house.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

habari nyingine zinasema wafanyakazi 26 raia wa misri wamejiuzulu, wakiwemo wanne wanaofanya kazi kwenye ofisi kuu iliyoko doha.

Inglese

other reports say that 26 egyptian employees have resigned, including four in the main doha office.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

picha iliyoko juu ya majumba ya bunge la afrika ya kusini huko cape town imepigwa na nick boalch na inatumika kupitia hati miliki za umma.

Inglese

photo above of the south african houses of parliament in cape town is by nick boalch and shared under a creative commons "attribution-non-commercial-no derivative" license.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo
Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta

Swahili

hakika nyumba ya kwanza walio wekewa watu kwa ibada ni ile iliyoko bakka, iliyo barikiwa na yenye uwongofu kwa walimwengu wote.

Inglese

behold, the first house (of prayer) established for mankind is the one at bakkah: it is full of blessing and a centre of guidance for the whole world.

Ultimo aggiornamento 2014-07-03
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

na mapambo. lakini hayo si chochote ila ni starehe ya maisha ya dunia tu, na akhera iliyoko kwa mola wako mlezi ni ya wenye kumchamngu.

Inglese

and (other) embellishments of gold; and all this is naught but provision of this world's life, and the hereafter is with your lord only for those who guard (against evil).

Ultimo aggiornamento 2014-07-03
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

mnafiki wewe! ondoa kwanza boriti iliyoko jichoni mwako na hapo ndipo utaona waziwazi kiasi cha kuweza kuondoa kibanzi kilichoko jichoni mwa ndugu yako.

Inglese

thou hypocrite, first cast out the beam out of thine own eye; and then shalt thou see clearly to cast out the mote out of thy brother's eye.

Ultimo aggiornamento 2012-05-06
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

henri dumoulin, mchangiaji wa global voices, anakumbuka kukaa kwake huko apatou, french guiana,sehemu iliyoko katika msitu wa amazon.

Inglese

henri dumoulin, global voices contributor, recalls his stay in apatou, french guiana, located in the heart of the amazon forest.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

ni sura inayopewa kipa umbele ya barafu iliyoko kwenye mlima wa chacaltaya ndiyo inayovuta usikivu wa ofisa wa serikali za mitaa na vikundi vingine vya wanaharakati ili kutazama tatizo la mabadiliko ya hali ya hewa katika ukanda wa bolivia.

Inglese

it is the high-profile image of the chacaltaya glacier that is drawing attention from local government official and other activist groups to the problem of climate change in the bolivian occident.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

intaneti ilikuwa ni mauzauza yaliyotengenezwa na serikali ya bahrain, ili kukufanya ufikirie kuwa ulikuwa unawasiliana na dunia iliyoko nje, wakati katika ukweli halisi ulikuwa umetengwa na kila kitu, na watu wengine wote.

Inglese

the internet was all a mirage created by the bahrain government, to let you think that you're connecting to the outside world, when in reality we are kept very isolated from everything and everyone else.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

kodivaa, nchi iliyoko afrika magharibi yenye pato la nchi la euro milioni 19 na wastani wa euro 967 kwa kila mkodivaa, ni nchi maskini zaidi kati ya nchi zinazoshiriki kwenye mashindano hayo, baada ya honduras na bosnia.

Inglese

ivory coast, located in west africa, with a gdp of 19 million euros and a per capita of 967 euros is the third poorest country that takes part in the world cup, after honduras and bosnia.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

athari ya mabadiliko ya hali ya hewa kwa barafu iliyoko kwenye mlima huu na mingine iliyo katika eneo hili zimekuwa zikichunguzwa na profesa wa chuo kikuu cha san andrés, edson ramírez, ambaye anahitimisha kwa kusema kwamba kuna uhusiano wa moja kwa moja kati ya kuongezeka kwa kiwango cha joto na kutokweka kwa theluji au barafu hiyo.

Inglese

the effects of climate change on this glacier and others in the region have been part of the investigation by higher university of san andrés professor edson ramírez, who concludes a direct connection between global warming and the disappearance of the glacier.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

baada ya kukutana kwenye sanamu ya simon bolivar (baba wa taifa la venezuela) iliyoko kwenye eneo la polanco, waandamanaji walitembea kupitia kwenye mtaa wa reforma wakielekea mahali panapoitwa malaika wa uhuru.

Inglese

after meeting at the simon bolivar (venezuela's founding father) obelisk in the polanco area, demonstrators walked down the main reforma avenue towards the angel of independence.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

akaunti za youtube zinaendeshwa na akaunti za google. kujisajili kwa youtube kunamaanisha kwamba unaongeza youtube kwa akaunti ya google iliyoko, ama kufungua akaunti mpya ya google (ambayo pia inaweza kutumika kwa huduma kama blogger, picassa ama gmail).

Inglese

youtube accounts are powered by google accounts. signing up for youtube means adding youtube to an existing google account, or create a new account to google (which can also be used for services like blogger, picasa, or gmail).

Ultimo aggiornamento 2016-10-28
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Ottieni una traduzione migliore grazie a
7,777,298,783 contributi umani

Ci sono utenti che chiedono aiuto:



I cookie ci aiutano a fornire i nostri servizi. Utilizzando tali servizi, accetti l'utilizzo dei cookie da parte nostra. Maggiori informazioni. OK