Da traduttori professionisti, imprese, pagine web e archivi di traduzione disponibili gratuitamente al pubblico.
imefungwa
locked
Ultimo aggiornamento 2017-09-06
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
kwa sasa, barabara kuu imefungwa kwa muda.
now, the highway has been closed temporarily.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
mipaka mingi ya kimataifa na ya kimkoa imefungwa.
many international and regional borders are closed.
Ultimo aggiornamento 2020-08-25
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
msaada wa dharura unapaswa bado kupatikana, ijapokuwa inawezekana unaweza kulazimika kuwasiliana na ubalozi kwa mbali ikiwa ile iliyo karibu na wewe imefungwa.
emergency assistance should still be available, though it's possible you may have to contact a further-away consulate if your local one has shut down.
Ultimo aggiornamento 2020-08-25
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
kwa hiyo, kila mliyosema gizani, watu watayasikia katika mwanga, na kila mliyonong'ona faraghani milango imefungwa, yatatangazwa juu ya nyumba.
therefore whatsoever ye have spoken in darkness shall be heard in the light; and that which ye have spoken in the ear in closets shall be proclaimed upon the housetops.
Ultimo aggiornamento 2012-05-06
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
barabara kuu imefungwa kutokana na mapambano hivyo wanatembea kwa miguu kukatiza misitu kusini mwa mbuga, kuelekea kibumba, takriban kilometa 20 hivi zaidi,ambako tunatarajia kwenda kuwachukua kwa kutumia malori.
the main road is blocked because of the fighting so they are walking through the forests of the park south, to kibumba, about 20km away, where we aim to pick them up in trucks.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
ilikuwa jioni ya siku hiyo ya jumapili. wanafunzi walikuwa wamekutana pamoja ndani ya nyumba, na milango ilikuwa imefungwa kwa sababu waliwaogopa viongozi wa wayahudi. basi, yesu akaja, akasimama kati yao, akawaambia, "amani kwenu!"
then the same day at evening, being the first day of the week, when the doors were shut where the disciples were assembled for fear of the jews, came jesus and stood in the midst, and saith unto them, peace be unto you.
Ultimo aggiornamento 2012-05-06
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta