Hai cercato la traduzione di khartoum da Swahili a Inglese

Swahili

Traduttore

khartoum

Traduttore

Inglese

Traduttore
Traduttore

Traduci istantaneamente testi, documenti e voce con Lara

Traduci ora

Contributi umani

Da traduttori professionisti, imprese, pagine web e archivi di traduzione disponibili gratuitamente al pubblico.

Aggiungi una traduzione

Swahili

Inglese

Informazioni

Swahili

waasi walifika khartoum na kuwashambulia watu wote.

Inglese

the rebels reached khartoum and attacked everyone.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

anuani ya mtandao wa twita ya ubalozi wa marekani mjini khartoum leo imetoa tamko:

Inglese

the us embassy in khartoum twitter account stated today:

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

ninavutiwa na umakini na taadhima ya wapiga kura inayojidhihirisha kwenye #sudanref nje ya khartoum. #sudan

Inglese

i'm impressed by the seriousness and solemnity of voters in #sudanref outside khartoum. #sudan

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

wakati huo huo, maandamano kama hayo yalianza kwenye mitaa ya burri jijini khartoum, na baadae kule al-daim.

Inglese

at the same time, similar protests started in burri neighbourhood of khartoum, and eventually in al-daim.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

maandamano yalianza katika chuo kikuu cha khartoum mnamo june 17, ambapo mamia ya wanafunzi walipinga hatua za kubana matumizi zinazotarajiwa kuchukuliwa na serikali.

Inglese

protests broke out at khartoum university on june 17, when hundreds of students denounced the government’s planned austerity measures.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

katika twiti yake ya mwisho, usamah alikuwa akifanya utetezi wa maudhui huru kusaidia kusambaza habari za matukio yanayoendelea katika mitaa ya jiji la khartoum:

Inglese

in his last tweet, usamah was advocating free content to help spread the word about the events happening on the streets in the capital khartoum:

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

masaa manne yaliyopita, mwandishi wa habari wa ki-misri salma elwardany, ambaye anaripoti kutoka khartoum, alitwiti:

Inglese

four hours ago, egyptian journalist salma elwardany, who is reporting from khartoum, tweeted:

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

alama mjini khartoum: “hakuna umoja kwa gharama ya sharia,” ikimaanisha sharia ni muhimu kuliko sudani iliyoungana.

Inglese

signs in khartoum: "no unity at expense of shari'a," meaning shari'a is more important than united sudan.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta

Swahili

tangu kuibuka kwa maandamano haya yanayoendelea jijini khartoum na katika majimbo yote kushinikiza kuanguka kwa utawala wa nchi hiyo, waandamanaji wengine wengi waliokuwa wakiandamana kwa amani wamekuwa wakitekwa na idara ya usalama wa taifa hilo na wengi wao wanateswa.

Inglese

in the wake of the ongoing protests taking place in khartoum and other states calling on the fall of the regime, numerous other peaceful protesters have been kidnapped by the niss and many of them were tortured.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

baada ya malalamiko kuhusu hali mbaya ya usalama wa afya kwenye uwanja wa ndege wa khartoum, msudani mwenye matumaini anaomboleza kifo cha mwandishi mashuhuri wa riwaya, al- tayeb saleh.

Inglese

after a frustrated rant about khartoum international airport's unhygienic condition, sudanese optimist mourned the passing of the respected and well-known sudanese novelist, al-tayeb saleh.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

baadhi ya watumiaji wa mtandao wa twita wa-sudani walifurahishwa na matukio yanayotokea mjini khartoum na yale yanayotokea kwenye nchi nyingine za eneo hilo na kuonyesha mshikamano na wale wanaohangaika kujikwamua na tawala za ki-dikteta duniani kote.

Inglese

it's on, it's on! some of the sudanese twitter users likened the events happening in khartoum to those in other countries in the region and maintained solidarity with those struggling with dictatorial regimes elsewhere.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

baadae usiku huo, maandamano mengine yalianza kwenye mtaa wa siteen, barabara kuu mjini khartoum, karibu na mtaa wa riyad;picha hii inaonyesha wanaandamanaji wakikusanyika kuzunguka tairi linaloungua moto katikati ya barabara.

Inglese

later that night another protest started in siteen street, a main road in khartoum next to riyad neighbourhood; this photo shows protesters gathering around a burnt tyre in the middle of the road.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

jamii ya wa-sudani mtandaoni ilifurahishwa mno na matukio yanayoendelea katika mji mkuu wa khartoum; hamid murtada, ambaye alikuwa kwenye maandamano hayo, alitwiti: الله أكبر ولله الحمد... البلد مولعة من كل جهة... قامت قامت!

Inglese

the sudanese online community was overjoyed by the events unfolding in the capital khartoum; hamid murtada, who was at the heart of the protests, tweeted : allah-u-akbar and al hamdulillah ..

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Ottieni una traduzione migliore grazie a
8,944,416,011 contributi umani

Ci sono utenti che chiedono aiuto:



I cookie ci aiutano a fornire i nostri servizi. Utilizzando tali servizi, accetti l'utilizzo dei cookie da parte nostra. Maggiori informazioni. OK