Da traduttori professionisti, imprese, pagine web e archivi di traduzione disponibili gratuitamente al pubblico.
kinembe kirefu
long horn
Ultimo aggiornamento 2024-06-30
Frequenza di utilizzo: 3
Qualità:
kirefu un
deep
Ultimo aggiornamento 2021-05-14
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
kirefu cha neno
the length of the word
Ultimo aggiornamento 2024-05-07
Frequenza di utilizzo: 7
Qualità:
Riferimento:
kirefu cha neno pssb
the length of the word pssb
Ultimo aggiornamento 2021-06-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
maisha ya kirefu cha thug
kirefu cha thug life
Ultimo aggiornamento 2020-07-08
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
nimefurahi kuwaona nikipindi kirefu hatuonan marafiki zangu
i'm glad to see them
Ultimo aggiornamento 2023-12-28
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
zola anaweza pia kuandika makala zinazodumu kwa kipindi kirefu.
zola can also write longer moving pieces.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
kipindi hicho ni kirefu mno kwa mtu aliye hai kuwa kimya hivyo kwenye ukurasa wake.
that is a hell of a long time for a live person to be that un-responsive.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
kila kipindi kina jumla ya miaka saba, ambacho ni kipindi kirefu kuliko vyote barani afrika.
each term is composed of a total of seven years, which is the longest single term in africa.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
jibu: (baada ya kimya kirefu) mobutu aliiongoza nchi hii kwa zaidi ya miaka 37.
a: (long pause) mobutu led this country for over 37 years.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
kama watoa elimu wa kipindi kirefu, maarifa na utendaji, kuwajeruhi ni kuharibu msingi wa utamaduni ambao ndio tegemeo la maendeleo endelevu ya nchi yetu.
as the living transmitters of time-tested knowledge systems, skills and practices, to wound them is to damage the cultural basis for the sustainable development of our nation.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
baada ya kimya kirefu, wanablogu wa kisudani, wamerejea kwenye ulimwengu wa blogu kuongea, na kushirikiana mawazo kuhusu matukio ya hivi karibuni.
after a long absence, a number of fascinating sudanese bloggers, return to the blogosphere to rant, share their thoughts on recent events and vent.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
hii ni nchi ambayo imetengeneza wanawake kadhaa wanasiasa wenye nguvu kubwa, kitambo kirefu kabla hata marekani haijaanza kulitaja somo hilo – indira gandhi ni mfano mmojawapo.
this is the same country that has produced a great number of enormously powerful female politicians long before america even honestly broached the subject - indira gandhi being the case in point.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
huyo mama akasema, "mheshimiwa, wewe huna chombo cha kutekea maji, nacho kisima ni kirefu; utapata wapi maji yaliyo hai?
the woman saith unto him, sir, thou hast nothing to draw with, and the well is deep: from whence then hast thou that living water?
Ultimo aggiornamento 2012-05-06
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta
makubaliano ya matumizi ya ardhi yamejadiliwa kwa kirefu nchini madagaska kama njia ya kuondokana na umasikini; mkataba uliovunjwa wa daewoo uliokuwa umetangazwa sana pengine kuliko yote lakini mikataba inayofanana na huo imekuwa ikitekelezwa bila kuchelewa wala miitikio kutoka kwa raia.
land deals have been discussed at length in madagascar as a way to get out of poverty; the aborted daewoo deal was the most publicized case but similar deals have been implemented without much hesitation or reaction.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
ingawa utekelezaji wa uandikishaji wapiga kura wa kwa njia za vipimo vya kibaiolojia unaoratibiwa na mamlaka ya vitambulisho ya taifa na upigaji kura wa mtandao ungeweza kutumika katika kipindi kirefu kijacho, mchakato huo haungeweza kuanza kutumika hivi karibuni”.
even though the implementation of both the biometric voter registration which is been handled by the national identification authority and e-voting were practicable in the long term, they could not be introduced anytime soon”.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento: