Hai cercato la traduzione di kiwango chochote cha usomaji da Swahili a Inglese

Traduzione automatica

Imparare a tradurre dagli esempi di traduzione forniti da contributi umani.

Swahili

English

Informazioni

Swahili

kiwango chochote cha usomaji

English

 

Da: Traduzione automatica
Suggerisci una traduzione migliore
Qualità:

Contributi umani

Da traduttori professionisti, imprese, pagine web e archivi di traduzione disponibili gratuitamente al pubblico.

Aggiungi una traduzione

Swahili

Inglese

Informazioni

Swahili

taarifa ya tukio hili haikuripotiwa katika kituo chochote cha habari.

Inglese

this was not reported in any media.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

hata hampungukiwi kipaji chochote cha kiroho mkiwa mnangojea kufunuliwa kwake bwana wetu yesu kristo.

Inglese

so that ye come behind in no gift; waiting for the coming of our lord jesus christ:

Ultimo aggiornamento 2012-05-06
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

barabara kuu ni lazima zijengwe ili kuhimili hali yoyote ya hewa, kwa maana kwamba kiwango ambacho barabara hizo zitajengwa ni lazima kiwe ni kiwango cha kitachakowa juu ya kima chochote cha mafuriko.

Inglese

the main trunk roads should be built to be weather-proof, meaning the level to which they must be constructed must be above the highest known flood level.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

kusudi ajipatie kanisa lililo takatifu na safu kabisa, kanisa lisilo na doa, kasoro au chochote cha namna hiyo.

Inglese

that he might present it to himself a glorious church, not having spot, or wrinkle, or any such thing; but that it should be holy and without blemish.

Ultimo aggiornamento 2012-05-06
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

kama wanachama wote wa ndc na wabunge wamejitokeza kuonyesha hisia zao hadharani, basi npp ambayo imekataliwa haitakuwa na chochote cha kusema.

Inglese

if all members of the ndc and the members of parliament have openly come out to express their feelings, then the npp that has been rejected would have nothing to say.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

akiwa ameshitakiwa na gazeti lake mwenyewe, ghanem alijikuta mpweke asiye na msaada wowote wa chombo chochote cha habari nchini aljeria.

Inglese

sued by his own newspaper, ghanem saw all the doors of algerian media closing in his face.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

mheshimiwa, tawala zilizopita pamoja na utawala huu uliopo madarakani zimeelekeza mipango yake ambayo kimsingi haiwezi kuzalisha kitu chochote cha maana…!

Inglese

sir, the previous regimes together with the current administration have focused on programmes that hardly produce anything worthy.....!

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

lakini kulikuwa na wayahudi wengine kutoka mkoa wa asia; hao ndio wangepaswa kuwa hapa mbele yako na kutoa mashtaka yao kama wana chochote cha kusema dhidi yangu.

Inglese

who ought to have been here before thee, and object, if they had ought against me.

Ultimo aggiornamento 2012-05-06
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

mume wangu naomba tu univumilie najua unateseka kutafuta hela ili tu mtoto awe salama naomba unisamehe sana maana nakuwa nakupa wakat mgumu wa kunihudumia na ni vile sina chochote cha kukusaidia nisamehe sana sikupenda nibebe mimba halafu niwe kwenye hal hii

Inglese

Ultimo aggiornamento 2024-03-22
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

mtu huyo hakuwa na chochote cha kulipa; hivyo bwana wake aliamuru wauzwe, yeye, mke wake, watoto wake na vitu vyote alivyokuwa navyo, ili deni lilipwe.

Inglese

but forasmuch as he had not to pay, his lord commanded him to be sold, and his wife, and children, and all that he had, and payment to be made.

Ultimo aggiornamento 2012-05-06
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

kwa hakika, mambo haya hayapaswi kuwa na maana yoyote, ni maneno matupu kwa chama cha pap ambacho kinawaacha wakiwa hawana chochote cha kupinga itakuwa ni njia muafaka sana kwa wengine ambao bado wanaweza kushawishika kukiunga mkono chama cha pap.

Inglese

in fact, these do not even need to say anything—a mere talk with the pap that leaves them with nothing to criticize will be effective enough for others who can still be convinced to support the pap.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

kwangu, ninagomea uchaguzi kwa sababu kura yangu kwa chama chochote cha hovyo hakuna faida yoyote wala thamani yoyote kwa sababu tabaka lote la wanasiasa linasikiliza mabalozi wa kigeni na wala si watu waliowachagua...kwa kugomea uchaguzi, angalau siwapi uhalali wowote na kuwafanya wajifanyie mambo yao wenyewe bila kuigiliza kuwa

Inglese

for me, i am boycotting because my vote to any of the existent dirty parties is of no use and value since the entire political class only listens to foreign ambassadors and not the people who elect ...by boycotting, at least i'm not giving them any legitimacy and deputizing them so they cannot pretend

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

msikilizaji: ungependa kuagiza nini, bwana? mteja: naweza kuona menyu, tafadhali? msikilizaji: kwa kweli. hapa ni wewe. mteja: ahsante. (mteja anaangalia menyu na anasema.) mteja: ningependa kuagiza kuku na mchele wa grisi. msikilizaji: je! ungependa kitu chochote cha kunywa na chakula chako, bwana? mteja: ndio, ningependa chupa ya maji ya madini. (waiter anarudi na chakula baada ya dakika chache na kuiweka mezani.) kiungo: furahiya chakula chako! mteja: ahsante. (baada ya

Inglese

waiter: what would you like to order, sir? customer: can i see the menu, please? waiter: certainly. here you are. customer: thank you. (the customer takes a look at the menu and says.) customer: i’d like to order grilled chicken and rice. waiter: would you like anything to drink with your meal, sir? customer: yes, i’d like a bottle of mineral water. (waiter returns with the food after a few minutes and places it on the table.) waiter: enjoy your meal! customer: thank you. (after a

Ultimo aggiornamento 2020-03-12
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Alcuni contributi umani con scarsa rilevanza sono stati nascosti.
Mostra i risultati con scarsa rilevanza.

Ottieni una traduzione migliore grazie a
7,763,138,876 contributi umani

Ci sono utenti che chiedono aiuto:



I cookie ci aiutano a fornire i nostri servizi. Utilizzando tali servizi, accetti l'utilizzo dei cookie da parte nostra. Maggiori informazioni. OK