Hai cercato la traduzione di kujitetea da Swahili a Inglese

Traduzione automatica

Imparare a tradurre dagli esempi di traduzione forniti da contributi umani.

Swahili

English

Informazioni

Swahili

kujitetea

English

 

Da: Traduzione automatica
Suggerisci una traduzione migliore
Qualità:

Contributi umani

Da traduttori professionisti, imprese, pagine web e archivi di traduzione disponibili gratuitamente al pubblico.

Aggiungi una traduzione

Swahili

Inglese

Informazioni

Swahili

alitoa hoja za kujitetea kwa njia ya mzunguko.

Inglese

he offered a veiled defense.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

basi hawakuweza kusimama wala hawakuwa wenye kujitetea.

Inglese

and neither stand up nor defend themselves.

Ultimo aggiornamento 2014-07-03
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

baadhi, katika harakati za kujitetea, waliwasha mitungi waliyopata kwenye vituo vya mafuta.

Inglese

some, trying to defend themselves, had time to light up the bottles they got from the service station.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

kama nisingalikuja na kusema nao wasingalikuwa na hatia; lakini sasa hawawezi kujitetea kwamba hawana dhambi.

Inglese

if i had not come and spoken unto them, they had not had sin: but now they have no cloke for their sin.

Ultimo aggiornamento 2012-05-06
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

lakini mimi niliwajibu kwamba si desturi ya waroma kumtoa mtu aadhibiwe kabla mshtakiwa hajakutana na washtaki wake ana kwa ana na kupewa fursa ya kujitetea kuhusu hayo mashtaka.

Inglese

to whom i answered, it is not the manner of the romans to deliver any man to die, before that he which is accused have the accusers face to face, and have licence to answer for himself concerning the crime laid against him.

Ultimo aggiornamento 2012-05-06
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

chifire lazima awe makini sana, kwa sababu kama baadhi ya blogu zinazowahukumu watu wengine kwenye magazeti pasipo wanaotuhumiwa hao kupewa fursa ya kujibu ama kujitetea.

Inglese

chifire must be very careful, just like some blogs which judge others in newspapers without those accused having an opportunity to respond or defend themselves.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

mateso kwa mtoto si ati kunatokea tu kwenye nyumba ambazo zimefungwa na hisia za kijamii na kadhalika, mateso hayo hufanywa mahala ambapo mtoto yupo kwenye mazingara mabayo hawezi kujitetea.

Inglese

child abuse doesn’t occur only in houses which are chained by so called social “norms, values” etc it happens wherever there is a child who is vulnerable.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

basi, mkuu wa mkoa alimwashiria paulo aseme. naye paulo akasema, "nafurahi kujitetea mbele yako nikijua kwamba umekuwa hakimu wa taifa hili kwa miaka mingi.

Inglese

then paul, after that the governor had beckoned unto him to speak, answered, forasmuch as i know that thou hast been of many years a judge unto this nation, i do the more cheerfully answer for myself:

Ultimo aggiornamento 2012-05-06
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta

Swahili

pamoja na ukweli kwamba mchakato wa kupiga kura ya kutokuwa na imani na mimi ulikimbizwa na haki haikufuatwa kiasi kwamba haki zangu za msingi zilipuuzwa, haki ambazo raia wote wa thailand wanastahili, ninaamini kwamba nilifanya kila nililoweza kujitetea.

Inglese

despite the fact that the process to impeach me was rushed and due process was ignored to the extent it stripped me my basic rights which every thai citizen is entitled to, i believed that i did my best to present my case.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

basi, rafiki, kama unawahukumu wengine, huwezi kamwe kujitetea haidhuru wewe ni nani. kwa maana, kwa kuwahukumu wengine, unajilaani wewe mwenyewe kwa vile nawe unayafanya mambo yaleyale unayohukumu.

Inglese

therefore thou art inexcusable, o man, whosoever thou art that judgest: for wherein thou judgest another, thou condemnest thyself; for thou that judgest doest the same things.

Ultimo aggiornamento 2012-05-06
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

paulo alipofika hapa katika kujitetea kwake, festo alisema kwa sauti kubwa, "paulo! una wazimu! kusoma kwako kwingi kunakutia wazimu!"

Inglese

and as he thus spake for himself, festus said with a loud voice, paul, thou art beside thyself; much learning doth make thee mad.

Ultimo aggiornamento 2012-05-06
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta

Swahili

gazeti tando moja linalokwenda kwa jina la linatupa muhtasari makini kuhusu msukumo wa minong’ono hiyo katika sentenso moja: 'simu inaita – mushy anaondolewa madarakani kwa manufaa ya umma … tazama geo (kituo kimoja cha televisheni) … sasa hivi' wapo waliotuaminisha kwamba huyu jamaa anayekwenda zake angejaribu kujitetea ili abaki madarakani, wapo waliotabiri kwamba huenda angerejesha mfumo wa mahakama kama njia yake pekee ya kujinusuru na kulipiza kisasi; kinyume chake hali imegeuka kuwa hotuba ya kuagia, akiachia mambo mbele ya watu wake wa karibu waliokuwa wakilengwalengwa na machozi, hali ambayo tunahabarishwa kupitia kwamba ‘akiwa amevaa uso usio na tabasamu musharraf, huku akipepewa na bendera za pakistani nyuma yake na picha ya ‘mwanzilishi’ wa taifa hili aliishia kusema “naweka hatma yangu mikononi mwa umma.”

Inglese

deadpan thoughts quite easily summarizes the roller coaster of rumors in one sentence saying "the phone beeps - mushy’s being impeached..go put on geo ..now". some had us believing that this outgoing chap would go down fighting while some on the other hand conspired for the restoration of judiciary as his last vengeance but in the end it fizzled out to be a valiant outgoing speech, throwing in the towel before his tearful adios which siam's blog shares 'a grim-faced musharraf backed by pakistani flags and a portrait of the country's founder' to say "i leave my future in the hands of people."

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta

Ottieni una traduzione migliore grazie a
7,777,994,508 contributi umani

Ci sono utenti che chiedono aiuto:



I cookie ci aiutano a fornire i nostri servizi. Utilizzando tali servizi, accetti l'utilizzo dei cookie da parte nostra. Maggiori informazioni. OK