Hai cercato la traduzione di kujumuisha da Swahili a Inglese

Traduzione automatica

Imparare a tradurre dagli esempi di traduzione forniti da contributi umani.

Swahili

English

Informazioni

Swahili

kujumuisha

English

 

Da: Traduzione automatica
Suggerisci una traduzione migliore
Qualità:

Contributi umani

Da traduttori professionisti, imprese, pagine web e archivi di traduzione disponibili gratuitamente al pubblico.

Aggiungi una traduzione

Swahili

Inglese

Informazioni

Swahili

siku ifuatayo, aliongeza vikwazo kujumuisha uingereza na

Inglese

the following day, he expanded the restrictions to include the united kingdom and ireland.

Ultimo aggiornamento 2020-08-25
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

kuanzia mwanzo, tutakuwa makini kupanga na kujumuisha data ili kuhakikisha kwamba inaweza kutumika katika tafiti za siku zijazo.

Inglese

from the start, we will be carefully curating data to ensure that it can be used for future studies.

Ultimo aggiornamento 2020-08-25
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

ndio, ni sawa kwao kwa makubaliano yao ya pamoja yanayowapa masaa manane kwa siku, bila kujumuisha wikiendi, siku za mapumziko na manufaa bora ya kiafya.

Inglese

yes, good for them and the collective agreements that give them eight-hour days, weekends off, extended holidays, and excellent health benefits.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

kwa mfano, hii inaweza kujumuisha kusafisha vituo mara kwa mara, kuruhusu wahudumu wa ndege kuvaa barakoa, na kupeana vyakula vilivyoandaliwa mapema vilivyopashwa joto upya.

Inglese

for instance, these may include cleaning facilities more frequently, allowing flight attendants to wear masks, and serving prepackaged instead of freshly heated meals.

Ultimo aggiornamento 2020-08-25
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

ili kuufanya mchakato uwe wa haraka, tunaweza pia kujumuisha kipengele kinachosema kuwa kubatilisha kunaweza kupitishwa mara moja ikiwa wote, mume na mke, watabadilishana kwa mdomo ahadi za kukana mapenzi kwa mwingine mara tatu

Inglese

to make the process speedy, we can also incorporate a provision that the annulment can be approved immediately if both the husband and wife will exchange a verbally denounciation of their love for each other for three times

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

mchakato huu unaweza kujumuisha kuangalia nambari za nhs zisizotambulishwa kwa watu walio na ugonjwa katika huduma za rcgp rsc, kuangalia mwongozo wa sasa wa phe kuhusiana na kuzingatiwa kwa uwezo wa kuambukizana wa visa vithibitishwa na kumwekea mgonjwa miadi kufuatia mchakato uliotajwa awali.

Inglese

this process may include checking pseudonymized nhs numbers for positive individuals at rcgp rsc practices, checking current phe guidance regarding considerations of infectiousness for confirmed cases, and offering the patient an appointment following the previously mentioned process.

Ultimo aggiornamento 2020-08-25
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

badala ya kutumia programu moja, mfumo ulikusanya maelezo ya utafutaji kutoka kwa vyanzo anuwai ikiwemo data ya utafutaji wa kifaa cha mkononi na data ya manunuzi ya kadi, na kujumuisha hizi kutoa arifa kupitia ujumbe wa maandishi kwa watu wanaoweza kuwa wameambukizwa.

Inglese

instead of using a dedicated app, the system gathered tracking information from a variety of sources including mobile device tracking data and card transaction data, and combined these to generate notices via text messages to potentially-infected individuals.

Ultimo aggiornamento 2020-08-25
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

unajumuisha utafiti wa maabara kuhusu vijiumbe na wanyama, kuwasilisha hali za kisheria, kama vile kupitia fda, kwa dawa mpya ya uchunguzi ili kuanzisha majaribio ya kimatibabu kwa wanadamu, na unaweza kujumuisha hatua za kupata idhini ya kisheria kwa maombi mapya ya dawa ili kutangaza dawa hiyo.

Inglese

it includes laboratory research on microorganisms and animals, filing for regulatory status, such as via the fda, for an investigational new drug to initiate clinical trials on humans, and may include the step of obtaining regulatory approval with a new drug application to market the drug.

Ultimo aggiornamento 2020-08-25
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

kama kanuni msingi, tumia maudhui ya matangazo ambayo ni wazi, yaliyo na maelezo na mahsusi yanayoangazia sifa za kipekee za bidhaa au huduma yako. unaweza kutofautisha tangazo lako kwa kujumuisha jina la kampuni yako, aina ya biashara, au kwa kuangazia bidhaa moja mahsusi. kama unatoa huduma au bidhaa ya eneo lako, huenda ukataka kuashiria eneo lako katika tangazo lako.

Inglese

kama kanuni msingi, tumia maudhui ya matangazo ambayo ni wazi, yaliyo na maelezo na mahsusi yanayoangazia sifa za kipekee za bidhaa au huduma yako. unaweza kutofautisha tangazo wako kwa kujumuisha jina la kampuni yako, aina ya biashara, au kwa kuangazia bidhaa moja mahsusi. kama unatoa huduma au bidhaa ya eneo lako, huenda ukataka kuashiria eneo lako katika tangazo lako.

Ultimo aggiornamento 2023-07-12
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Ottieni una traduzione migliore grazie a
7,737,861,489 contributi umani

Ci sono utenti che chiedono aiuto:



I cookie ci aiutano a fornire i nostri servizi. Utilizzando tali servizi, accetti l'utilizzo dei cookie da parte nostra. Maggiori informazioni. OK