Imparare a tradurre dagli esempi di traduzione forniti da contributi umani.
Da traduttori professionisti, imprese, pagine web e archivi di traduzione disponibili gratuitamente al pubblico.
fadhila za mama kukadiria siwezi
bounty mother i can estimate
Ultimo aggiornamento 2017-02-27
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
tukakadiria na sisi ni wabora wa kukadiria.
and we determined [it], and excellent [are we] to determine.
Ultimo aggiornamento 2014-07-03
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
kiwango cha masumbuko ya sasa kilichosababishwa na tetemeko la ardhi si rahisi kufahamika hivi sasa...ni vigumu kukadiria idadi.
the amount of the current suffering caused by the earthquake cannot possibly be known right now ... the numbers cannot be estimated.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
lakini ni vigumu kukadiria au kuwa na makadirio elekevu kwa sasa kuhusu wakati huo ni lini".
but it's almost impossible to make any sensible projection right now about when that will be".
Ultimo aggiornamento 2020-08-25
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta
kipengee muhimu katika utafiti wetu kitakuwa ni kukadiria visa vya upeo miongoni mwa watu na kuendelea kufuatilia ukusanyaji wa data na kuunda uwezekano wa kukua na kuibuka kwa upeo wa baadaye katika visa vipya huku hatua za kujiweka mbali ya jamii ikilegezwa kamba.
key to the focus of our study will be the estimation of peak cases in the population and continual monitoring by data collection and modelling the potential growth and emergence of subsequent peaks in new cases as social distancing measures are relaxed.
Ultimo aggiornamento 2020-08-25
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
hatimaye, pamoja na mbinu iliyo hapa juu, tutatumia mbinu ya kaplan-meier yenye matokeo mawili (vifo na uponaji) ili kukadiria viwango vya visa kusababisha vifo.
finally, in addition to the above methodology we will employ the kaplan-meier method with two outcomes (death and recovery) to estimate the case fatality ratio.
Ultimo aggiornamento 2020-08-25
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
makadirio ya vipashio vya muundo wa seir yanaweza kufuatiliwa katika seti kubwa ya data kwa sababu uwezekano wa kuwekwa sambamba na mbinu hizi zimetekelezwa katika maktaba kadhaa ya r; tunanuia kutumia maktaba ya abseir (iliyo kwenye github:https://tinyurl.com/vqu35cj) na abctools (https://tinyurl.com/tfjavz4) ili kukadiria hatua za janga kwa msingi wa kila wiki.
estimates of the parameters of the seir model are tractable on large data sets because of parallelizability, and these methods have been implemented in several r libraries; we intend to use the libraries abseir (deposited on github: https://tinyurl.com/vqu35cj) and abctools (https://tinyurl.com/tfjavz4) to estimate epidemic measures on a weekly basis.
Ultimo aggiornamento 2020-08-25
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento: