Da traduttori professionisti, imprese, pagine web e archivi di traduzione disponibili gratuitamente al pubblico.
bangladesh: mahakama yaamuru kufungwa kwa kurasa za facebook kwa kukashifu dini
bangladesh: court orders shutting down of facebook pages for blasphemous contents · global voices
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
pakistani: msichana wa kikristo wa miaka 11 awekwa kizuizini kwa kukashifu dini.
pakistan: 11-year-old christian girl detained for blasphemy · global voices
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
@anthonypermal: : hatuwezi kuikwepa sheria hii inayohusiana na kukashifu imani za wengine.
@anthonypermal: we can't repeal blasphemy law.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
sawa, tuchukulie kwamba mimi ni mwandishi mtukutu ambaye niko kama ninataka kukashifu ufahamu wako wa jumla kuhusu nchi mbalimbali unazozijua.
okay, let's say i am a naughty writer who seems to want to insult your general knowledge of the various countries that you know.
Ultimo aggiornamento 2021-03-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
pamoja na matukio hayo ya mara kwa mara yasiyopendeza, pakistani haipiga hatua zozote katika kuipitia upya sheria hiyo kandamizi ya kukashifu.
despite such frequent unpleasant events, pakistan has made almost no progress in reforming its deeply flawed and discriminatory law involving blasphemy.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
kosa la kukashifu imani linaelezwa katika kifungu cha sheria namba 295 cha hukumu za pakistani ambapo mshitakiwa akikutwa na hatia anaweza kufungwa kifungo cha maisha ama hukumu ya kifo.
the blasphemy offence comes under article 295-b of the pakistan penal code and the offender can get life imprisonment or a death sentence.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
msichana wa kikristo mwenye umri wa miaka 11, ramsha masih amehukumiwa kwa kukashifu imani na ameshikiliwa kwa siku 14 katika gereza la watoto katika jiji pacha la mji mkuu wa pakistani liitwalo rawalpindi.
an 11-year old christian girl, rimsha masih has been accused of blasphemy and has been remanded for 14 days to a juvenile prison in the twin city of the pakistan capital, rawalpindi.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
kabisa kabisa, hakuna mtu mwenye alikua amebaki nalawama na kukulaumu labda kwa sababu yamatatizo yenye ulipitia, halafu kukashifu, wanakuangalia vibaya? unafanya hivi
absolutely, no one was left to blame and blame you maybe because of the problems you went through, then blasphemed, they look at you negatively? are you doing this?
Ultimo aggiornamento 2023-06-20
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
kundi hili lilitaka the sheria mkononi. mwezi uliopita kundi hili lilimchoma moto mtu aliyekuwa na matatizo ya akili katika mtaa wa bahwalpur ; ambapo mtu huyu alituhumiwa pia kwa kukashifu imani.
the mob apparently wanted to do the justice themselves. last month a mob burnt a mentally unstable man in bahwalpur; the man was also accused of blasphemy.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
kwa mfano, pia walituhumiwa kwa kuchagua msimamo dhaifu kwenye kesi ya ghazi beji na jabeur mejir, ambao walipatikana na hatia na kufungwa kwa miaka saba na nusu jela mwaka jana, kwa uchapishaji wa maudhui mtandaoni yaliyoonyesha kukashifu uislamu.
for instance, they were also accused of adopting a weak stance on the case of ghazi beji and jabeur mejir, who were convicted to seven and half years in prison last year, over the publication of online content deemed offensive to islam.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
@anthonypermal: @anthonypermal: imethibitika- polisi wa pakistani wamemtia nguvuni msichana wa kikristo wa miaka 11 kwa tuhuma za kukashifu dini.
@anthonypermal: confirmed- police in #pakistan have arrested an 11 year old christian girl suffering from downs syndrome for blasphemy.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
utangulizi mnamo 1799, mwandishi na mwalimu wa watoto hannah more alijibu dhidi ya mapinduzi ambayo yalikuwa yametokea hivi karibuni huko amerika na ufaransa kwa maneno ambayo yanatuambia mengi juu ya nafasi ya mtoto katika jamii ya briteni wakati huo. kukashifu msisitizo mkali wa thomas paine kwamba wanaume wote wameumbwa sawa, more alisema kuwa kutambua "haki za mwanadamu" lilikuwa wazo lisilo na maana. halafu, alidhihaki, wanamageuzi wataanza kujadili haki za wanawake, halafu (hata ujinga zaidi
introduction in 1799, children’s author and educator hannah more reacted against the revolutions that had recently taken place in america and france in terms that tell us a great deal about the child’s place in british society at that time. denouncing thomas paine’s radical insistence that all men are created equal, more argued that recognizing the “rights of man” was an absurd idea. next, she scoffed, reformers would begin to discuss the rights of women, and then (even more ridiculou
Ultimo aggiornamento 2021-03-13
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta