Imparare a tradurre dagli esempi di traduzione forniti da contributi umani.
Da traduttori professionisti, imprese, pagine web e archivi di traduzione disponibili gratuitamente al pubblico.
siku nikienda kumtembelea tutapiga picha alafu nitakutumia. ana miaka 9
one day when i go to visit him we will take a picture and then i will send it to you. he is 9
Ultimo aggiornamento 2023-01-19
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
krismasi ilikuwa inakaribia na kwa mara ya kwanza niliamua kumtembelea shangazi yangu kipenzi.
christmas was coming and i decided it was time for my first journey abroad to visit a dear aunt.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
maryam kwa upande wake, ilimbidi kuondoka nchini humo baada ya kushikiliwa kwenye uwanja wa ndege alipojaribu kumtembelea baba yake.
maryam had to leave bahrain after being detained at the airport when she tried to visit her father.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
baadhi ya taarifa zinasema kuwa mtoto wa kike wa qahwaji anasumbuliwa na saratani na anapata matibabu huko jordani na kwamba qahwaji hakuweza kumtembelea na ailiamua kujiunguza kwa moto ili kuishinikiza mamlaka ya palestina imsaidie fedha ili akamjulie hali mtoto wake.
some reports said that qahwaji's daughter suffers from cancer, and is actually being treated in jordan, and that he could not afford to visit her.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
mimi ni raia wa iran, na kama mwana iran mwenye uchungu na nchi hii, ningependa kukukaribisha kumtembelea bw mir hussein mousavi katika kipindi utakachokuwa hapa tehran kwa ajili ya mkutano wa 16 wa umoja wa nchi zisizofungamana na upande wowote (nam).
i am an iranian citizen, and as a concerned iranian i would like to invite you to visit mr.mir hussein mousavi during your stay in tehran for the 16th non-aligned movement (nam) summit.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento: