Da traduttori professionisti, imprese, pagine web e archivi di traduzione disponibili gratuitamente al pubblico.
je, una mpango wa kusimulia habari zako au kutengeneza filamu za shughuli fulani kwa kutumia kamera -au simu yako?
are you telling stories or filming actions with cameras - or your phone?
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
muhimu zaidi, serikali haina haja ya kununua simu kwa ajili ya wakulima kwa sababu wale kati yao ambao wanaweza kutumia simu hizo, tayari wanazo.
more importantly, the government does not need to buy telephones for farmers because those among them who could use such phones, already have them.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
na pia: suala hili linatoa picha gani kuhusu amerika kusini, kwa nini kuna mahitaji makubwa ya watu kutaka kufanyiwa upasuaji au kutengeneza viungo vya miili yao kwa ujumla, hususani kupandikizwa virutubisha matiti?
and also: what does it say about latin america, this extensive demand for aesthetic surgeries in general, and for breast augmentation in particular?
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
"katika nukta au wakati gani ambapo jamii imefanya chaguo hili kuwa rahisi, na lenye uwazi na mvuto kwa watu masikini waliobanwa na janga la vvu, kwenda kununua simu za viganjani badala ya kondomu?
"at what point in time did society make it an easier, more obvious and appealing choice for an impoverished population in the grips of an hiv epidemic, to buy a cell phone rather than a condom?
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta
idusote ibukun, katibu mkuu wa wizara ya kilimo katika serikali ya shirikisho la nigeria, aliripotiwa akisema kuwa wizara hiyo lingetafuta fedha za kununua simu za mkono zipatazo milioni kumi zenye thamani ya n60 bilioni, kutoka china na marekani kwa ajili ya kuzisambaza bure kwa wakulima vijijini nchini kote.
ibukun idusote, permanent secretary, federal ministry of agriculture, was reported as saying that the federal ministry of agriculture would procure ten million mobile phones, worth about n60 billion, from china and the us for free distribution to rural farmers across the country.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Alcuni contributi umani con scarsa rilevanza sono stati nascosti.
Mostra i risultati con scarsa rilevanza.