Hai cercato la traduzione di manispaa ya dodoma da Swahili a Inglese

Swahili

Traduttore

manispaa ya dodoma

Traduttore

Inglese

Traduttore
Traduttore

Traduci istantaneamente testi, documenti e voce con Lara

Traduci ora

Contributi umani

Da traduttori professionisti, imprese, pagine web e archivi di traduzione disponibili gratuitamente al pubblico.

Aggiungi una traduzione

Swahili

Inglese

Informazioni

Swahili

halmashauri ya manispaa ya kinondoni

Inglese

the district council of ilala

Ultimo aggiornamento 2024-07-14
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

uharibifu ulikuwa wa kusikitisha kidogo wakati tunaingia manispaa ya ivisan.

Inglese

the damages were a bit distrubing when we entered the municipality of ivisan.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

tume ya afya ya manispaa ya wuhan baadaye iliyoa notisi ya umma tarehe 31 desemba na kujulisha who.

Inglese

the wuhan municipal health commission later released a public notice on 31 december and informed the who.

Ultimo aggiornamento 2020-08-25
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

madaktari wa timu hiyo walijaribu bila mafanikio kunusuru hali yake akiwa kwenye sehemu ya kuchezea katika uwanja wa manispaa ya urcos, katika mkoa cusco.

Inglese

sporting cristal's medical team tried unsuccessfully to resuscitate him at the field of the municipal stadium in urcos, in cusco.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

kufuatia siku tatu mfululizo za maandamano, inaonekana serikali ya manispaa ya heshan jijini jiangmen imetupilia mbali mkakati wake wa ujenzi wa mradi mkubwa wa mtambo wa nguvu ya nuklia.

Inglese

following three days of continuous protests, it seems the heshan municipal government in jiangmen city has abandoned its plans to construct a massive nuclear fuel complex.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

santiago alieleza kuwa uamuzi wake ulizingatia uhusika wa oronoz rodríguez katika kashfa za siku za nyuma, ambapo inadaiwa akiwa mkurugenzi wa idara ya sheria ya manispaa ya san juan alitetea uamuzi wa meya wa kuruhusu kukaguliwa kwa kila mtu ambaye angehudhuria sherehe za mtaa wa san sebastian.

Inglese

santiago explained that her decision was based on oronoz rodríguez' involvement in a controversial case, when as the director of san juan's municipal legal division she defended the mayor's decision to impose searches on every individual who would attend this year's san sebastian street festival.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

siku hiyo hiyo mwaka 2012, arcoiris waliratibu tukio la kwanza la "besada," na karibu watu 50 walihudhuria tukio hilo katika maeneo ya uwanja wa michezo wa ramon fonst, kwenye manispaa ya plaza havana.

Inglese

on the same date in 2012, arcoiris organized the first "besada," and nearly 50 people participated in that event in the vicinity of the sports arena ramon fonst, in the municipality plaza havana.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta

Swahili

kwa majina naitwa edimundi arbogast mtaki ni mtoto wa kwanza kuzaliwa kati ya watoto wanne wa familia ya marehemu francis. nimezaliwa mwaka 1990 katika manispaa ya shinyanga. elimu yangu ya shule ya msingi nimesomea manispaa ya shinyanga katika shule ya msingi uhuru kuanzia mwaka 1996 na kuhitimu darasa la saba mwaka 2002. mwaka 2003 nilianza kidato cha kwanza katika shule ya sekondari buluba iliyopo manispaa ya shinyanga na kuhitimu kidato cha nne mwaka 2006 na kupata daraja la iii:22. mwaka 20

Inglese

my name is edimundi arbogast mtaki is the first child born out of four children of the family of the late francis. i was born in 1990 in shinyanga municipality. my primary school education i studied at shinyanga municipality at uhuru primary school from 1996 and graduated from class seven in 2002. in 2003 i started my first form at buluba secondary school in shinyanga municipality and graduated from form four in 2006 and got grade iii: 22. year 20

Ultimo aggiornamento 2020-11-16
Frequenza di utilizzo: 3
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Ottieni una traduzione migliore grazie a
8,878,327,431 contributi umani

Ci sono utenti che chiedono aiuto:



I cookie ci aiutano a fornire i nostri servizi. Utilizzando tali servizi, accetti l'utilizzo dei cookie da parte nostra. Maggiori informazioni. OK