Imparare a tradurre dagli esempi di traduzione forniti da contributi umani.
Da traduttori professionisti, imprese, pagine web e archivi di traduzione disponibili gratuitamente al pubblico.
mazishi ya jose
funeral
Ultimo aggiornamento 2021-03-02
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
huduma za mazishi
towards funeral fundraising
Ultimo aggiornamento 2024-03-14
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
alienda kwenye mazishi
i went to the funeral
Ultimo aggiornamento 2021-11-29
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
picha za mazishi ya sajuki
pictures of sajuki's funeral
Ultimo aggiornamento 2021-11-28
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
tena aliacha wosia wa kutaka mazishi ya haraka.
he even had a wish for an immediate funeral.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
rais aquino alitoa hotuba wakati ibada ya mazishi ya polisi waliouawa siku moja baada ya majeneza kuwasili.
president aquino gave a speech during the necrological services for the slain policemen a day after their coffins arrived.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
tan_network: waunga mkono wa mashati mekundu kuandamana kupinga kuwepo kwa mbunge wa chama cha democrat kwenye mazishi ya samak
tan_network: red shirt supporters to protest against presence of democrat mp's at samak's funeral
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
ndugu wakiwa kwenye foleni kwenye sehemu itoayo huduma za mazishi jijini nairobi kwa ajili ya kuwatambua marehemu waliouawa katika shambulio ya chuo kikuu kishiriki cha garissa kilicho kaskazini mwa kenya.
relatives line up at the chiromo funeral home in nairobi to identify bodies of their kin killed after al-shabaab attacked garissa university college in northeastern kenya.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
kifo cha chiluba kiliondokea kuwa suala moto katika kampeni kwa chama cha mmd ambacho wanachama wake walitishia kumpiga sata ikiwa angehudhuria mazishi ya aliyewahi kuwa kiongozi wake ambaye chini yake alitumikia siyo tu kama waziri bali pia kama katibu mkuu wa mmd.
chiluba’s death became a hot campaign issue for the mmd whose cadres threatened to beat sata if he attended the funeral of his once boss under whom he saved not only as cabinet minister but as the mmd’s national secretary.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
@afriwoman: nasikiliza stesheni za redio za zambia, napitia picha za mazishi ya #chiluba kwa hisani ya @qfmzambia .
@afriwoman: listening to zambian radio stations, going through pics of #chiluba's funeral courtesy of @qfmzambia .
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
wakati wa mazishi hayo yaliyodhaminiwa na familia ya kifalme, wapinzani wa serikali wa mashati ya mekundu (wengi walikuwa wafuasi wa samak) nje ya hekalu waliwazomea maafisa wa serikali waliohudhuria desturi hiyo.
during a royally-sponsored funeral rite, the anti-government red shirts (most of them were samak supporters) outside the temple booed government officials who attended the ritual.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
sata hakukanyaga katika eneo la mazishi kufuatia vitisho vya kumpiga vilivyotolewa na makada wa mmd lakini bila kutarajiwa alitokea katika kituo cha mikutano cha kimataifa cha mulungushi ambapo mwili wa chiluba ulilazwa na kutoa heshima zake za mwisho, huku akiutazama pamoja na raia wa kawaida, na kuwachukiza maafisa wa usalama ambao hawakujua cha kufanya na mtu huyu ambaye wakati huo alikuwa ni kiongozi wa upinzani ambaye ni wazi alikuwa katika uhusiano mbaya na rais banda.
sata never set foot at the funeral venue following threats to beat him up by mmd cadres but he unexpectedly turned up at the mulungushi international conference centre where chiluba’s body lay in state and paid his last respects, viewing it along ordinary citizens, vexing even security officials who did not know what to do with the then opposition leader who was clearly in bad books with president banda.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento: